Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hii nchi bana haiishi vituko..................... leo nimekipata chengine. mabwana na kina mama fulani wakiwa kwenye chumba cha mikutani wameibuka na tathmini kwamba uchumi wetu umekua kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, anaendelea kufanyiwa mazoezi ya bega kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbi (Moi), baada ya kufanyiwa upasuaji hivi karibuni ameitaka Serikali kuisaidia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia Serikali imetangaza kima kipya cha chini cha mishahara... kama kuna mtu tayari anajua ni kiasi gani...?
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Hizi ni sbb zinazonifanya nisione umuhimu wa maadhimisho hy 1. KIUCHUMI kwa sasa hapa TZ uzalishaji mali ni mdogo sn ukilinganisha na rasilimali vitu zilizoko Tz, tunategemea vitu vingi sn...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena viongozi wa upinzani na wa CCM wanagongana airport..(nyama za mashirika ya ndege???). Safari hii ni Mhe. Zitto akitokea Nairobi kwenye mkutano wa Raila Odinga na akagongana...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Yapata mwaka sasa lakini mbunge wa Arumeru Mashariki hatujui alipo wala hatuna taarifa sis wananchi wa jimbo hilo Bunge la bajeti mpaka limeisha hatujamuona nafikiri hata ajaapishwa: Ni hoja 2...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Thursday November 3, 2011 powered by Fix education mess, donors tell Tanzania Rating By POLYCARP MACHIRA NATION Correspondent Dar es Salaam, Wednesday...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nianze kwa kutoa salamu kwa wana Jamii wote nimekaa nikawaza sana kuhusu hayamaonyeshao yakila wizara hivi yanatusaidia nini ? na je inawaongezea nini wananchi wakati huu wakusherekea miaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nianze makala yangu kwa kuwapa pole watanzania wenzangu hasa kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nasema POLENI WATANZANIA! .Kinachonifanya kushuka jamvini muda huu ni kujaribu kulileta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wana great thinker tujiulize ni kipi kimejiri kuhusu ile ajali ya boat MV Islander? Je kuna mtu amechukuliwa hatua kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) au ndo mambo ya interest za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Constitution of Tanzania: Victim or Villain of a Peoples' Underdevelopment [Draft] Background The call for a new constitution is not new in Tanzania's politics. In 2005, a CCM MP for...
1 Reactions
2 Replies
13K Views
Wana jamii, Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza niseme wazi kuwa bwana Cameroon waziri Mkuu wa Uingereza anataka kuitangaza Uigereza iliyokua inaanza kupotea kwenye masikio ya walimwengu. Na kwa masharti ya misaada kwa kuualalisha ushoga...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha.... ======= Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za...
30 Reactions
422 Replies
37K Views
Waliokamatwa kwenye mgomo wa daladala na pikipiki jana tarehe 02.11.2011, uliokuwa unashinikiza OCD (ZUberi) wa Arusha aondolewe kwa uonevu anaoufanya zidi ya watu wa Arusha na kwa mbunge wao Mh...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Miezi 3 ijayo inahisiwa 1 USD($) =TZS 2,500 Ambapo moja ya athari kubwa itakuwa ni kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali kunakotokana na kushindwa kwa sera za kiuchumi ya serikali ya Kikwete...
6 Reactions
104 Replies
16K Views
Nimekuwa nikitfakari kwa mda sasa kama 2011 tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania badala ya Tanganyika sasa ikifika 2014 tutasheherekea miaka 50 ya Tanganyika au Tanzania au huo mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeoteshwa kwamba sio siku nyingi nchi yetu itaishiwa kabisa hata hela za kuendesha serikali zitaisha ,nitatoa kikombe bure kama tiba itakuwepo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekua na mzozo mkubwa sasa hivi hapa nchini wa kuukubali ushoga. Naomba ni weke wazi hapa kuwa mimi binafsi si ukubali USHOGA, achalia mbali haki zao, kauli mbalimbali zimekua zikitolewa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…