J'tatu hiyooo, Lema njeeee.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Nov 12, 2011.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau, zimebaki saa chache ambapo mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema atoke kule lupango. Ikiwa Hakimu siku hiyo ameamka akiwa na "stress" akasema hakuna dhamana, kwamba arudi Kisongo au ipo.

  Unadhani Lema atakubali kurudi lupango? Je unadhani Mh.Lema amebadilika? Unatazamia nini mapokezi yake?

  Nawasilisha
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wana wa Arusha.Tunataka iwepo hamasa kubwa watu wamsindikize Lema mahakamani kuanzia gereza la kisongo hadi mahakamani.Kuwe na umati mkubwa kuzidi wa wiki iliyopita.Diwani wetu Nanyaro hamasisha watu ili umati huo iwe ni salaam kwa mkuu wa mkoa ambaye jana amewatukana wana chadema.
   
 3. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani Lema akataye tena kupewa dhamana utakuwa ni ujasiri wa hali ya juu
   
 4. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatoka kwenda wapi?
   
 5. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kosa kisheria kukataa dhamana na kama mahakama ikiamua inaweza kukuacha ndani kama adhabu kadri itakavyoona inafaa. wale wenzetu watatuambia ni mkono wa CCM
   
 6. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazima nikahudhurie mahakaman nikajue kitakachoendelea
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeshaBook chumba pale Kisongo kuanzia kesho jumapili nitakua huko ili jumatatu niamkie gerezani kumsindikiza kamanda wa machalii kuja mahakamani! na ole wake huyo hakimu alete Magamba style! Bora atafute sehemu ya kwenda kuishi nje ya jiji la Arusha.
   
 8. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Lema hakukubaliana na mahakama kwamba hataki kupewa dhamana kwa muda gani hasitahi kutoka kwa hiari yake hadi pale mahakama itakavyoamua vinginevyo
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Siku ya Jumatatu ndani ya jiji la Arusha ni siku ya mapunziko baada ya kamanda Lema kutoka!
   
 10. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema hajui sheria na anataka kucheza nazo na ndio maana CCM wanamchezea kama mpira wa danadana. Alipokataa dhamana alifikiri ni kitendo cha kijasiri na kuwakomoa polisi kumbe wapinzani wake wakatumia nafasi hiyo kumbana kwa sheria. hakuna mkono wa mtu kwani hakunyimwa dhamana siku ya kwanza mbona mbowe, Lisu na Slaa wamepewa wanawasiliana vema na wanasheria wao.
   
 11. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka kama atatoka kesho labda akubali dhamana akikataa ili kukazia uamuzi wake wa kukaa mahabusu hatutamuona hiyo kesho
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Arusha itahamia mahakamani J3.
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Labda aende somalia kwani sidhani kama kuna sehem watamwitaji hapa TZ
   
 14. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wana Arusha wengi mjitokeze kumpokea Che Guevara wa Tanzania ningekuwa pande izo nisingemiss.
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama ila kajenga heshima kwa vijana wake wa AR na TZ kwa ujumla
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Magamba wanatamani akubali dhamana ili wapate usingizi
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Atawahi? si alitaka kutoka Serikali ikamwambia subiri ujuwe ni nani zaidi wewe kinyangarakata au Serikali?
   
 18. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,444
  Likes Received: 9,092
  Trophy Points: 280
  unalipwa sh.ngapi kwa kazi hii??
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WAHITIMU WETU CHUO CHA KUIMARISHA ARI YA UPAMBANAJI KISONGO PRISON NDIO HAO MAKAMANDA WETU WANAINGIA URAIANI WIKI IJAYO KUENDELEZA HARAKATI ZA KUTETEA 'HAKI NA UTU' WA MTANZANIA KWA KUDAI KATIBA MPYA YA WANANCHI

  Huyo hapo ni GREAT THINKER Mkigoma anapopanga hoja zake kwa uwezo wake wote wa juu zaidi bila kujiuliza kama juhudi za mabadiliko yaweza kutadhminiwa kwa kutaza TUKIO au MCHAKATO mzima?

  Nadhani hakuna hata mtu mmoja mwenye akili timamu asiyejua kwamba sana sana CUF wao walichokua wakikipigania tayari walishayapata huko CCM kutokusikika tena kwenye JUKWAA LA KUPIGANIA MABADILIKO nchini. Kama ni KULA MABUA kwa pamoja na nguruwe pori tayari wenzetu wako mbali mno katika hilo la MAPIGANIO YA KUCHUMIA TUMBO.

  Kama mwisho wa fikra reli Kigoma ndio itakua imekaa hivi, basi kweli CUF waendelee kuchukua nafasi yao stahili KULA MABUA kwa pamoja na nguruwe pori kama ambavyo ilivyowahi kutamkwa huko nyuma.

  Wapambanaji vita mbele ya kidemokrasia na tuwe na hivi karibuni huenda tukawa na mikutano ya wilaya hadi wilaya mara baada ya Makamanda wetu (Dr Slaa, Mbowe, Lema na ...) watakapokua WAMEHITIMU KUPITISHWA KWENYE TANURI LA KUKOMAA ZAIDI KIUPAMBANAJI huko KISONGO PRISONS kupigania HAKI NA UTU wa Mtanzania kwa Nguvu zaidi, Kasi Zaidi na Ari zaidi.

  Tunaendelea kuwalaki viongozi wetu hawa kwa heshma na taratibu zote stahiki kote nchini huku tukiwapelekea wananchi ujumbe moja tu: PIGANIA HADI KUFA MCHAKATO MZIMA WA KUPATIKANA KATIBA MPYA YA WANANCHI na mema mengi kufutia baada ya hapo.


  Wakati tukielewa fika ya kwamba SUALA LA MABADILIKO KWA MAFAA YA UMMA NI 'MCHAKATO' na kwamba wala si TUKIO tu la siku moja, CHADEMA hatujasau dira ya ukombozi kwa wananchi wote badala ya kuchukua njia ya mkato tu ya baadhi ya viongozi hasa wa chama fulani kujiamulia tu kuendelea KUJICHUMIA TUMBO.

  Moto mkubwa ndio kama hivo kila kona ya nchi mpaka kieleweke.


   
 20. b

  ben genious Senior Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we faiza wanaume wakiongea we mfuga maziwa kaa pembeni...
   
Loading...