Wakuu naomba mwongozo wenu. Leo hii kabla ya mjadala wa katiba kuanza nimeshangaa sana kuona spika bila aibu akiupigia kampeni kwa wabunge kupitisha muswada wa katiba. Hivi hili ni sahihi kwa mtu anayetakiwa kusimamia mjadala wa watu wenye mawazo tofauti kuwa na bias ya wazi? si angetangaza conflict of interest na kumuachia mtu neutral kuongoza mjadala?
Yaliyotokea bungeni leo yameonyesha ni kama spika alishaongea na Anna Kilango kuwa ntahakikisha utaanza wewe kuchangia, maana spidi na sauti aliyoitumia kumuita kilango kuchangia haikuwa ya kawaida na hakutaka kumsikiliza mwingine yeyote, yeye alikazana tu kuita kilango, kilango, kilangooooo!!!!! anza kuongea.
Mi nadhani mjadala mzima ulikuwa batili kwa sababu muongoza mjadala alikuwa feki!!