CUF ndiyo waasisi wa Mchakato wa katiba - Hamad Rashid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF ndiyo waasisi wa Mchakato wa katiba - Hamad Rashid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Nov 15, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Inaonekana Dhahiri kuwa Cuf na CCM lao moja.na nina uhakika kama ukiwaambia vyama vingi vifutwe kibaki kimoja watakuwa tayari..

  Kila anayesimama anakandya mkakati wa Chadema kukacha mchakato..Sasa kama Muda mwingi wa bunge hili wanapoteza kukandya Chadema, si bora wangekubali kuwa bunge hili ni la dharura kukandya uamuzi wa Chadema??????


  Ni kweli Cuf walikuwa Waasisi wa Mchakato wa Katiba Mpya?????

  Mbona siasa ya Cuf inatupa mwangaza kuwa sasa ni Chama tawala??

  Nawakilisha
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ukikuta Mkuu wa nchi na Watawala wamenyamaza kimya juu ya tamko kupinga Ushoga ,ujue tatizo la Ushoga linawatafuna watawala!!!
  Nani asiye jua kuwa kuna Ushoga kati ya CUF na CCM????

  Tangu lini CCM ikakemea CUF???
  Wamekubaliana kuwa kwa Upande wa ZNZ CUF itawale na kwa upande wa Bara CCM itawale ilimuafaka unaopigiwa kelele na watu uonekana una maana ya kuleta amani!!!


  Wahusika hawana makusudi ya kuleta katiba mpya na wala hakuna kati ya CCM na CUF amabaye yupo kwenye Mchakato wa Katiba mpya.

  Lengo lao wanataka kuchelewesha katiba mpya ili uchaguzi 2015 ufanyike kwa katiba ya sasa!!!
  Baada ya hapo watavunja muungano ili kuvuruga mchakato wa Katoba mpya !!!

  Kumbuka kinachotafutwa sasa ni Katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano , lakini kuna njama za Kuvunja Muungano na baada ya hapo wataanza mchakato wa kutafuta katiba ya Tanganyika!!!

  Mtikila anaandaliwa kushughulikia sera hiyo na imepamba moto inatakiwa sisi wote tuwe na akili wapo wanao tuchezea mawazo!!!!

  Anna Makinda ameimarisha uchawi wake kule Njombe na mizimu yote inayitumia Kondoo wawili wanaoishi kwa Babu Mshomali wanafanya ushirikina Huko !!!!.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Siaza za Bongo bwana!
   
 4. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wameacha kujadili muswada wanajadili uamuzi wa chadema kutoka nje.
   
 5. j

  janja pwani Senior Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema wana agenda ya siri, wanatumika na kanisa, katiba itapita, upuuzi na ujinga wa cdm wanainchi tumeishauchoka.
   
 6. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 868
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Hivi nyie magamba mtaacha lini kufikiri kwa saburi???kanisa limeingiaje hapo???una maana kanisa limeiambia chadema itoke bungeni???kanisa gani???T.A.G,E.A.G.T,fullgospel,katoliki,lutherani,sabato,mzee wa upako,misukule,orthodox...MNABOA SANA ninyi..mind yu katiba mpya itakusaidia wewe na watoto wako pia.
   
 7. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hawa wanasiasa wanataka kuteka hili suala la katiba wakati ni jambo la watanzania hata ambao leo hii hawapo duniani sio cdm ccm wala cuf wajifanye ndio wenye mamlaka na nguvu katika hii katiba tufikiri kwanza Tanzania kabla ya vyama vyetu!
   
 8. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tatizo sio chadema ndugu yangu ni hao wabunge wako wa cUf ndio wanakwamisha maamuzi magumu juu ya mchakato wa kutengeneza katiba mpya.
   
 9. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu najiaminisha, kama CDM kingekuwa chama lege lege haa huku bara ccm A na B wangetufanyia kama znz
   
 10. clemence

  clemence JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 595
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Udini huo sasa,jadili hoja
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280


  hahahahahahahaha! safi sana mkuu, nimekusoma vilivyo.
   
 12. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  We janja pwani acha uzoba na kufwata mkumbo kujiropokesha. tunazungumzia katiba ya jamhuri ya muungauo wa tanzania sio katiba ya CDM. Mbona JK juzikati kaenda kuzindua mradi wa umeme wa kanisa katoliki hamjasema sisiem wanatumiwa na kanisa? pumbavu nenda jukwaa la chitchat kapige story za kijiweni acha watu serious wajadiliane hapa.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hakutakuwa na kipengere cha nani alianzisha mjadala wa katiba mpya ndani ya katiba tunayotafuta sasa. huku ni kutupotezea muda kugombania nani alianzisha.

  Nimekuwa kimya lakini mimi ndio mwasisi wa katiba ila sikuwa na forum ya kusemea wala sina madaraka katika jamii lakini nimekuwa nahamasisha katiba mpya kwa mtu mmoja mmoja ndio maana sikusikika. CUF, Hamad, chadema na CCM, na wengine wanaodai ni wanzilishi sio kweli.

  maana yangu hapa ni kwamba kuwa wa kwanza kusikika kwenye vyombo vya habari kuhusu katiba hakuna maana wewe ndio mwanzilishi na kuanzisha kudai hakuna umuhimu kwetu bali mchango wa nini kiwemo katika katika mpya.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hamad Rashid anatakiwa atambue kuwa watanzania hawataki hizi ngonjera zake za nani alikuwa wa kwanza kudai katiba! Watu tunataka katiba inayokidhi matakwa yetu, whether CUF walikuwa wa kwanza au osama bin laden alikuwa wa kwanza it does not matter. Muda wa katiba mpya ni sasa.

  Pia ni vizuri watu watambue Hamad Rashid yuko pale kutetea tumbo lake na ndio maana siku zote he's licking ccm's stuff ili wamkumbuke. Huko Pemba kwao hajafanya chochote!
   
Loading...