Kuna tija kwa kutumia tume ambayo siyo huru (NEC) kuratibu mchakato wa kuratibu katiba mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tija kwa kutumia tume ambayo siyo huru (NEC) kuratibu mchakato wa kuratibu katiba mpya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Biz2geza, Nov 15, 2011.

 1. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau katika hotuba ya waziri wa sheria na katiba jana alizungumzia kuwa katika mchakato wa kupata maoni ya wananchi wa Tanzania Bara itafanywa na NEC na watakao husika ni wale ambao wapo kwenye daftari la wapiga kura na kwa upande wa Zanzibar itafanywa na ZEC.

  Mytake: Baada kuna manunguniko kwa wananchi kuwa tume ya uchaguzi ilichakachua matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana na ikapelekea wagombea flani flani kupata ushindi ambao haikuwa staiki yao na kutokana hayo matokeo wananchi walikuwa wanahitaji Tume Uhuru ambayo itakuwa inaratibu shughuli za chaguzi mbali mbali hapa nchi.na hili ni moja ya pendekezo ambalo linatakiwa kuwepo katika Katiba mpya.SWALI langu Hii NEC imeshakuwa HURU?

  Naomba maoni yenu wadau.
   
Loading...