Mhe. Kikwete chanzo cha migogoro isiyoisha CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Kikwete chanzo cha migogoro isiyoisha CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Nov 15, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala yake kasabisha mifarakano kwa kutumia vijana wachanga kwenye siasa kama kina Nape kuendelea kukiua chama,wito wangu ni kuwa mh Rais atambue thamana aliyopewa na watz ni kubwa,na wala si ya kuchezea,aache uwoga akemee haya,vinginevyo tabia ya kuwa bubu na kufumba macho baadhi ya issue za msingi,ndo utamng'oa madarakani kabla ya mda wake...
  Nawasilisha
   
 2. r

  rutakolwakolwa Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viva umenena mkubwa!!
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  wosia wako umechelewa ndugu.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hata mbowe na Dr slaa ni chanzo cha migogoro isiyoisha chadema tangu enzi za kukimbia akina Kabouroo, marehemu wangwe, kafulila na sasa Zitto akitaka kugombea uenyekiti mvutano unaanza.

  Tofauti ni ukubwa wa migogoro CCM ni chama kikongwe haepukiki kuwa na migogoro rejea Julius Malema wa Afirca kusini na akina Zuma. Chadema hakina miaka mingi kwenye ulingo wa siasa japo ndio chama imara cha upinzani kwa sasa lakini kikikua hakiwezi kukosa mogogoro
   
 5. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Huyo unayemuita Mhe! ni mhe kwako; watanzania hatuna uhakika kama kweli sisi ndo tulimpa dhamana ya kuongoza nchi na CCM yake.
  Pili JK sio mwanasiasa bali ni mchora dili za kupata fedha tu!
   
 6. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  ushachelewa chama kinasubiri kuzikwa 2015
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Uwezo wake ni wa chini sana na baada ya kuligundua hilo ikabidi aingizie ishu za udini ili ionekane anahujumiwa kwasababu ni Mwislam. Haka kajamaa ni janga la Taifa kwa kweli ukiangalia tokea kameingia madarakani mpaka leo hii inaumiza sana sijui tunaenda wapi kwa kweli, ikifikia hata mkuu wa nchi anafanya au kubariki majungu na fitina katika kuendesha nchi inauma sana
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  kuna haja ya kupeleka mswaada bungeni kuondoa matumizi ya neno mheshimiwa.
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,154
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Yeye ndiye Gamba kuu.
   
 10. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watanzania kwa sasa tunajiongoza wenyewe hatuna rais,ni kivuli tu.
   
Loading...