Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau mko wapi tulichangie hili?hao vogogo walopewa hivyo viwanja wako wapi?waanikwe tuwajue then tuwachambue wana manufaa gani kwa wakazi wa mafia?maana anatajwa Dr Dau tu kwani yeye kapewa...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
1 Reactions
90 Replies
10K Views
Wadau hii mnaona hiko sahihi kweli kwa rais kua ndie kua mtu pekee atakaeunda tume atimaye bunge la mchakato mzima wa katiba mpya!imekaaje hii wadau!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wabunge wa bunge la TZ wanawahujumu wananchi kwa kutumia muda vibaya katika vikao vya bunge kwa sababu zifuatazo:- 1. Kutumia muda mwingi kushukuru kuilko kuchangia mada iliyoko mezani kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamii Jinsi mambo yanavyoenda ndani ya Serikali ya CCM, kuna uwezekano Muswada tete ukaahirishwa...hadi Bunge la Feb 2012. Naomba tuwe wavumilivu hadi hapo kesho jioni....
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Tanzania siyo nchi yenye uwezo wa kumiliki gari la wagonjwa lenye miguu mitatu, Tunaiomba serikali iache dharau kwa Raia wake, huu ni utovu wa nidhamu ulio waziwazi wa wananchi wa taifa la...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye Nnauye anadaiwa kutoa kauli kwamba wana uhakika wa ushindi wa Lema unaopingwa na wapiga kura watatu, wote wanachama wa CCM, utatenguliwa na...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Kesho ndo bunge la Ccm na serikali vinatarajiwa kuupitisha Muswada wa sheria ya marekebisho ya Katiba! Unawashauri wafanye nini kipindi hki? Kama kweli wananchi walio wengi wanapinga uwasilishwaji...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Jaman Wabunge wa Chadema wametoka tena nje ya bunge, inapendeza sana
1 Reactions
157 Replies
18K Views
BY THE GUARDIAN REPORTER 17th November 2011 The wildlife Conservation Society of Tanzania(WCST) has said there is a need for a comprehensive strategic approach to the planned development of a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasikiliza wageni walioalikwa leo katika kipindi cha majadiliano wapo Radio fm. Napata taabu kuwaelewa na kuelewa usomi wao. Sina hakika kama wanaelewa wanachojadili, yaani kuuelewa muswada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Blandes MP heshima kwako, Mimi naishi ktk kijiji cha NYAKAKIKA, tarafa ya NYABIONZA ktk jimbo la KARAGWE. Naomba nisimame kwa niaba ya wananchi wa kata, tarafa pia Jimbo langu kua hayo...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Spika wa Bunge la Tanzania ametoa ufafanuzi kuhusiana na jina lake. Anasema jina lake ni Anne Makinda na wala sio Anna Makinda. Zaidi ya matamshi, kuna tofauti yoyote kati ya majina Anne, Ann...
0 Reactions
89 Replies
11K Views
hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Thursday, November 17, 2011, 7:42 Rai-habari Na John M. Kibasso CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mwezi huu. Kikao hicho kitafanyika mjini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeongea na watu wengi wa Karagwe kuhusu kauli aliyosema bungeni mbunge wa Karagwe Blandes kuwa wananchi wa Karagwe wamemtuma kuwa wanakubali muswada wa tume ya katiba uliopo bungeni upite kama...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, lilelilo tabiriwa kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA na si vinginevyo, sasa wazanzibar wamegundua hawahitaji tena ndoa hiyo bali kujitegemea na kuolewa OIC kuendelea...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Thursday, November 17, 2011, 7:47 Rai-habari *Zama hizo malipo ya Wabunge yalikuwa Sh 4,000 tu *Mwalimu Nyerere ‘alifyatuka' kuhusu malipo haya Na Chrysostom Rweyemamu HISTORIA inaendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MVUTANO baina ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi kwa upande mmoja dhidi ya Serikali na wabunge wa CCM kwa upande mwingine, umevuta nchi wahisani ambao wametuma maofisa wake mjini Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.....send your ideas.....demand Freedom of Information law to be included in the country action plan [please note:Tanzania will be evaluated based on these commitments contained in the country...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…