Wana JF
Wana JF tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.
hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.
Maadui...
Wana JF
Hawa JF tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.
hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.
Maadui...
Ndugu wana jopo, binadam yeyote mwenye afya akili bila kujali ni timamu au la huwa anawaza. Nimekuwa nafuatilia kwa muda mwenendo wa namna ya kuwa na katiba mpya na nimegundua kuwa mambo kadhaa...
Nadhani sisi sote tumeshuhudia hotuba ya Raisi Jakaya Mrisho kikwete kwa umakini mkubwa sana na wachambuzi wengi wa masuala ya hotuba watakubaliana nami kuwa Hotuba ya Raisi imejaa hofu na lawama...
"We don't need JK's Commission! It will disturb the process by being malicious to the process in favour of the ruling party.
...we need first of all to amend the current Constitution especially...
Kwa nilivyofuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Tume ya Kuundwa kwa Katiba,nimepatwa na shaka kuwa huenda Katiba imeshaandikwa. Hii inatokana na Spika kuiingilia Kamati ya Kudumu ya Katiba na...
Wana JF
Hawa ndiyo maadui wa mswada wa katiba mpya
kwa miaka hamsini ijayo tanzania ya leo na kesho
ikichafuka hawa wanapaswa kubeba dhambi hii.
hawa ni pamoja na wabunge wa ccm,cuf and pamoja...
Kuna tetesi kuwa jana JK alikutana na upinzani mkubwa wa wabunge baada ya kutaka mwafaka na wapinzani kama wazee wengi walivyoshauri wabunge walimweleza wataweka wapi nyuso zao kama hautapita...
1. Eti kama vipi tuzichape bungeni.......bla bla bla......
2. Eti Kikwete ni mpole na anawavumilia wapinzani wakati ni mwanajeshi ......bla bla bla....
bora Malecela.........kuliko huyu!
mbunge wa longido ndugu Lekule laizer amedanganya Taifa kwa kudai kuwa alisoma kidato cha nne mwaka 1975 as a private candidate. Huu ni uhuni na ndo uhaini ambao CCM inahubiri kila kukicha...
Fri, Nov 18th, 2011
Fri, Nov 18th, 2011| Tanzania
Tanzania Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe
Minister for Foreign Affairs and International...
Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa...
Mheshimiwa Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete leo ataongea na wazee wa Dar-es-salaam kuanzia saa kumi jioni. Itarushwa live na vituo vya TV kama TBC.
USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEE.
Amini usiamini mkubwa kakamatwa pabaya, ndoa wazanzibar twaivunja na Jukwaa la katiba wanataka maandamano nchi nzima, CHADEMA NA NCCR nao wako juu katiba katiba sasa mkuu wa kaya kuvunja ukimya...
Wana jf, naomba niwashirikishe hii makala iliyoandikwa na Majid Mjengwa na kupostiwa kwenye blog ya globalpublishers, binafsi imenigusa sana na kunifikirisha mno kuhusu taifa letu.
Karibuni...
Miaka kadhaa iliyopita Kibaki alitaka kufanya hichi anachokifanya sasa Jakaya ya kuandika katiba anayoitaka yeye sasa baadae kutakiwa kuwa na kura ya maoni kuikubali au kukataa njia hii.Wapenda...
Muswada walioendelea kujadili wabunge wa ccm na kama si kukijadili chadema na LISSU wake ukitolewa na kusomwa kwa mara ya kwanza nani atakuwa na busara kati ya ccm na wabunge wake na chadema...