Ni Wazanzibari wenyewe waliojipeleka kwa kasi kumezwa na Bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Wazanzibari wenyewe waliojipeleka kwa kasi kumezwa na Bara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Nov 20, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0  1. Kukubali kwao muungano ambao wao walikuwa wanapiga zumari la pili (playing second fiddle) - 1964
  2. Kama hiyo haikutosha walikubali kuunganisha vyama – yaani TANU (bara) na Afro Shirazi (Zanzibar) na wao kucheza zumari la pili. – 1977.
  3. Kukataa mwaka kutoa mgombea wa urais walipokuwa na strongest candidate (Dr Salim) na kuonekana kuwaambia Bara wao waendelee tu kutoa mgombea, wao hawana haja..- 2005
  4. Kukubali serikali ya pamoja (SUK) kwa kushirikiana baina ya CCM na CUF (chama kikuu cha upinzani ZBR) ambapo CUF inacheza zumari la pili – 2010.

  Sasa basi hawa Wazanzibari siwaelewi kabisa. Wanalalmika kumezwa na bara huku wenyewe ndiyo wanatia kasi ya kumeza kwao. Wanalalmika maendeleo duni kwa sababu ya muungano, huku sasa hivi wanaisapoti vikali CCM kwa mchakato wake wa katiba ambao kuna kila dalili utaendelea kuwabana.

  Wamerogwa nini hawa?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  wanapenda sana kuolewa, CUF isha olewa.
  Waache kulaumu, na sasa hawana mkombozi wala mtetezi
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nimekumbuka ule ulimbo ndege akinaswa anapojitahidi kutumia kila kiungo ajinasue anajikuta mwili wote umenaswa.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yaani hata huu mchakato wa katiba wao wako tayari kuisapoti CCM vile inavyotaka, siyo wanavyotaka. Hawael;eweki kabisa kipi wanakitaka.

  Nionavyo mimi hawa CUF kwa vile wameshajenga chuki na CDM (kutokana na kuporwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni) basi wako tayari kuisapoti CCM kwa hoja zao zote hata kama zinazidi kuwatia kitanzini! Wako kama wanawake!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Ni ukweli kabisa mkuu hasa hiyo hapo kwenye red mie ilinishangaza saana! Yaani kwa sehemu ndogo ya Muungano kuweza kutoa rais wa Jamhuri huwa ni kitu cha fahari sana -- lakini hawa Wazenji waliona kuwa siyo lazima sana kwao kutoa rais wa jamhuri. Bara waendelee kutoa tu.

  Kwanza sijui ni lini tena Zanzibar watapata strong candidate kama Dr Salim.
   
 6. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kibaya zaidi wanataka kujenga chuki kwa wananchi kuwa chadema kinawadharau wazinzibari kuwa wao ndio wamejenga mazingira ya wazinzibar kudharauliwa na kunyanyaswa.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Usemacho ni sahihi kuhusu chuki waliyojenga dhidi ya CDM! Wako tayari kuzidi kupoteza uhuru na utu weao kwa sababu ya CDM!

   
 8. Mbassa

  Mbassa JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 247
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Hawa CUF hata hawajui ni nini wanakitetea. CCM au KATIBA! Wamedanganywa na sisiemu wapambane na CDM, Watachemsha. Hiyo ni nguvu ya uma huwezi kupambana nayo. Wao wana zanzibar yao and we want our tanganyika back kwanza na katiba yetu. Ndipo sasa tukae tutengeneze hiyo ya muungano. Hapo kitaeleweka
   
 9. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mkuu Albedo alishasema kuwa hakuna jinsi nyingine ya kuwadifine wazanzibar zaidi ya kuwafananisha na popo maana hawaeleweki wanataka nn. Tabia yao kama ya popo.
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe binafsi nashindwa kuwadefine hawa wazenji, leo utasikia tunaitaka zenji yetu hatutaki muungano, kesho utasikia tunalaani cdm kwa kutaka kuvunja muungano wetu.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni Utamu wa Madaraka... Wengi wa Viongozi wetu walipendelea waweze kukaa madarakani kama Wafalme

  Kwahiyo kuunganisha Vyama; Hivyo kutaleta baraka ya Uwajibikaji wa kuwa na Nafasi nyingi za kuchagua Viongozi na itatosha

  1. Marais - a] Muungano
  b] Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Muungano
  c] Waziri Mkuu Bara, Waziri Kiongozi Zanzibar

  2. Mawaziri a] Bara nafasi 40 za Mawaziri kamili
  b] Bara nafasi 20 za Manaibu Waziri
  c] Makatibu Wakuu wa Mawaziri 40
  d] Manaibu Katibu Wakuu wa Mawaziri 40
  e] Wakurugenzi Mbalimbali Wizarani wapo zaidi ya 400

  3. Mawaziri Visiwani
  a] Mawaziri 16 kamili wa Zanzibar
  b] Manaibu 10 kamili wa Mawaziri Zanzibar
  c] Wakurugenzi 80 wa Wizara Mbalimbali

  4. Wakuu wa Mikoa Tanganyika, Zanzibar na Pemba IDADI ni 38

  5. Wakuu wa Utawala wa Mikoa Kote IDADI ni 38

  6. Wakurugenzi wa JIJI, MIKOA n,k 40

  7. Wakuu wa Wilaya Maeneo Yote 194

  8. Wakurugenzi wa Wilaya zote 194

  9. Wabunge wasio na Wilaya - Wateule 130

  10. Makatibu wa Tarafa, Wilaya, Mikoa 1,120

  Sasa huo ni utamu, hatujaweka Viongozi kwenye Makampuni ya Serikali, Balozi zetu ni Mapumziko ya Familia n.l
   
 12. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  CUF wanatia huruma ya kujitakia, wanataka Watanganyika wawaonee huruma, imekula kwao
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mh! Cuf wameolewa?!
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ama kweli ukiolewa shart ulale uchi
   
 15. D

  DATOGA Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  You can not define Zanzibariz, leo wanacheza ngoma wasioijua. Ukiwapeleka Kusini, Kaz, Mashariki, Magharibi wanaenda kotekote.
  Ukiwasikia wanaongea utadhani ni kweli wanaume kumbe mabwabwa tu.

  CCM wameona kuwapinga CDM hawapati sapoti ya wananchi, hivyo wameamua kuwatumia CUF kupata sapoti na ya wanaCUF pia.
  Wameweza kuwalowa baada ya kunyang'anywa kiti cha Kambi ya Upinzani bungeni, (that very day wakiwa bado wanahasira na cdm) lakini hawajawahi hata kukutana kujadili / kutafakari WHY wanapoza POPULARITY kwa watz every single day.

  Na anaye wafikisha hapo walipo ni Mr. Hamad Rashid anayewasikliiza CCM just because of his BUSINESS INTERESTS tu (kwa upande wa Bara)

  Kwa upande wa TZ Visiwani anaye walostisha ni Mr. Maalim Seif (mzee wa sawa sawa ingawa siku hizi hasemi tena)
  Just imagine huyu Maalim Seif ndiye yule aliekuwa akimpa Mzee Nyerere SIRI zote za Zanzibar enzi za Mzee Abdul Jumbe.

  Hawa jamaa pamoja na baadhi ya wazenji ni Wahafidhina, Mamluki, Wasaliti, niseme pia mabwabwa. Hawa CUF na watu wengine, leo wanafikia hatua ya kusema CDM ni ADUI kwa dini ya Kiisilamu, hizi kauli ni za CCM na wanaoziendeleza wanacheza ngoma wasioijua DHUMUNI LAKE!
  Wamewasahau ccm iliwanyima Urais bara na visiwani kwa KAULI hizi hizi za KIDINI.
   
 16. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Katika hili udini pia una play part kubwa sana mkuu.
   
 17. KIDESELA

  KIDESELA Senior Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa vigeugeu tu hawaeleweki wanataka nini! Wala hawajulikani adui yao ni nani kati ya wabara au cdm,wanajifanya kama hawamuoni adui yao na 1 ni ccm na bado watakamuliwa mpaka wote wahamie bara,
   
 18. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,496
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa CUF kutoka znz hawawezi kuikubali Chadema kwasababu hivi sasa ktk siasa za znz kuna "Ombwe la upinzani". Kukubali na kuunga mkono hoja za chadema (hata kama wao pia wanazikubali) ni "kujiangamiza" wenyewe kisiasa. Wa-znz hawana wa kumlaumu mambo yanapoenda kombo, tofauti na zamani ambapo CUF waliwalaumu CCM na CCM waliwalaumu CUF. Hivi sasa wanaoneana aibu-wananchi wamebaki peke yao wakinung'unika.

  Ktk mazingira kama hayo ukiwaruhusu chadema kuingia ktk siasa za znz, CUF watakuwa irrelevant! Hiki ndicho wanachokiogopa sana na wapo radhi watumie silaha ambayo CCM imekuwa ikitumia miaka yote kwa wapinzani-Udini. Huko tuendako, silaha hii chafu itatumiwa sana na CUF dhidi ya Chadema. Maajabu ya Firauni ni pale wabunge toka znz wanatoa tuhuma kwamba Chadema inataka kuvunja muuungano. Wengine tunabaki tunashangaa na kujiuliza hawa wa-znz wameanza lini kuupenda muungano?
   
 19. D

  Dopas JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii bujibuji, na ndiyo haswaaaaaa wanapenda kuolewa. Na ndo maana hata Nape katuambia kuwa Seif bado anafurahia wisky ya harusi yao. Wapi atakumbuka kutetea Wazanzibari. Cuf ndo kwisha kazi, waanzishe chama kingine cha upinzani Zenj.
   
 20. D

  Dopas JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Well said, Bravo!!!
   
Loading...