Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Mswada wa mabadiliko ya katiba wapitishwa sasa.....Hii dharau na kupuuza kwa serikali nini matokeo yake? Bunge limepitisha na shangwe zasikika na vigelegele toka kwa wabunge wa viti maalumu.Nadhani sasa kipenga kimelia...ngoja tuone itakuwaje....
 
mwanasheria mkuu ndio anatoa hoja sasa kwa kujibu hoja ngoja tuone puuzi wake
 
Kwa namna mwanasheria mkuu wa serikali anavyoongea huku akiufagilia namna mswaada ulivyowakilishwa na namna alivyoponda hoja zilizotolewa na mh. Lissu pamoja na Machali kuna dalili zote kwamba muswada unaenda kupita bila kupingwa! Ila wajiandae, hiki ndo kifo chao moja kwa moja!! Bye bye CCM!
 
wacha wapitishe huo mswaa ni wao na sio wa kwetu wananchi na huyo aliyejida kusema anaonga leo na wazee akae mkao wa kula maana sasa hivi hatutaki dharau tena
 
Mwanasheria mkuu anasema watanzania wasipotoshwe na wabunge wachache..anasema raisi atabakia kuwa na mamlaka kubwa kama ambavyo imetamkwa....
 
Back
Top Bottom