Serikali mkikataa mapendekezo haya mtakua hamjielewi kwa kweli..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali mkikataa mapendekezo haya mtakua hamjielewi kwa kweli.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sajosojo, Nov 29, 2011.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
   Ziundwe Tume mbili za Katiba, moja itakayokusanya na kuratibu maoni
  ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kwa ajili ya masuala yasiyokuwa ya Muungano ya Tanganyika, na ya pili itakayokusanya na kuratibu maoni ya wananchi juu ya masuala ya Muungano;
   Tume ya Katiba itakayohusu masuala yasiyokuwa ya Muungano ya Tanganyika itakuwa na wajumbe na Sekretarieti watakaotoka Tanganyika wakati Tume ya Katiba itakayohusu masuala ya Muungano itakuwa na wajumbe na Sekretarieti watakaotoka katika pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano kwa msingi wa usawa wa uwakilishi;
  www.JamiiForums.com
   
 2. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ningependa Wazanzibar washiriki kutoa maoni kwa mambo ya muungano tu! wasishiriki katika mambo ya tanganyika kama sisi watanganyika ambavyo hatukushiriki katika kuandaa katiba yao.
   
 3. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  je wabunge wa ccm hamkuliona hili
   
Loading...