Hivi sheria hii imetungwa lini na imepitishwa na bunge lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi sheria hii imetungwa lini na imepitishwa na bunge lipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBURE JASHA, Nov 29, 2011.

 1. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Salaam wadau wote wa JF na wana tanzania wote mtakaobahatika kuiona thread hii
  Naomba mawazo wenu ambayo yatakuwa msaada kwangu na huenda ikawa kwa baadhi ya wabunge wa bunge lla Muungano kwa jinsi watakavyoumia na hali hii!

  sasa ni mazoea alianza mhe. Rais alipowapa muda wezi wa fedha za EPA kuzirudisha kabla Dhahma haijawashukia. Sasa ni kila mahali nchi nzima. Afisa Mtendaji wa Kijiji anaiba vocha za pembejeo anapewa muda wa kuzirejesha na Bosi wake. Sijui atazipata wapi!(kwa maana zimetengenezwa na benk husika) Jana Usiku TBS nimesikia kuna mkurugenzi wa Halmashauri (i think ni Biharamulo) wamelipa makandarasi hewa Tsh 200,000,000/= nao wameambiwa na mamlaka za juu warudishe la sivyo kiama kitawashukia. Kuna vijana wanaiba kuku,simu nk.

  Kwa nini nao wasipate hii favour!
  Ndio maana nauliza hii ni sheria ya wezi kuiba na kurudisha au sheria sahihi ni ipi! wabunge mliopo huku mtusaidie imepeitishwa lini hii
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wezi wakubwa ni 'wenzao' hivyo wanabembelezwa au kushauriwa kurudisha walichoiba, ila wezi wa kuku siyo wenzao hivyo inabidi wapambane na mkono wa sheria
   
 3. lukenza

  lukenza Senior Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakuna sheria kama hiyo ila ni kubebana na mara nyingi utakuta huyo afisa alikuwa anatumiwa na wanaojiita wakubwa
   
 4. n

  nyalufunjo Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu,
  Fahamu kuwa hakuna sheria yoyote inayoruhusu mwizi kurudisha alichoiba na kisha akaachiwa. Wizi ni kosa la jinai na mwizi anapelekwa mahakamani. Ukiona wezi wanasamehewa ujue tu jibu moja kuwa idara zetu husika ni dhaifu. No independent and strong institutions in Africa. Institutions are saving people while in fact they are suppossed to save the state. That is one reason why Africa might remain poor for quite number of years to come. Bet on me.
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  True!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwenye nguvu mpishe.........
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni sheria ambayo ipo mioyoni mwa viongozi wa CCM, lakini haipo kwenye vitabu vya sheria ya nchi hii.

  Ukitaka sheria zilizomo kwenye vitabu zifanye kazi, JIBU unalo mwenyewe

  Alamusiki
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ndo nchi ya kitu kidogo hiyo!
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni sheria inayowahusu wana mtandao. Kama upo nje ya duara haikuhusu.
   
Loading...