Zitto alipuka posho za wabunge kuongezeka kimya kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto alipuka posho za wabunge kuongezeka kimya kimya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngeleshi, Nov 28, 2011.

 1. N

  Ngeleshi Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bwana zito kabwe amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa anamwomba katibu mkuu wa chadema Dr. Slaa kuitisha kikao cha dharura kulizugumzia swala hilo la posho kupandishwa kinyamela kwa kuwa sera ya CDM ya mwaka 2010 inakataa posho kubwa za watumishi wa serikali. Zitto amesema watajadili hizo posho na kutoa tamko kwani posho za wabunge zimepanda kimya kimya.
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  zito ameongee akiwa wapi?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,279
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  si kwa CDM tu.wananchi wote wana haki kujulishwa na hizo mamlaka. Isije kuwa ni mchezo umefanyika kuwa instead of receiving double allowances which leads complains lets double it so as we get the same without complains
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kweli hii serikali ni kama sikio la kufa, nasikia baadhi ya watumishi bado hawajapata mishahara wao wanakimbilia kupandisha maposho.
  Watoto wetu hawana vitabu, madawati, madawa hakuna lakini wao wanajali matumbo yao tu.
  Zitto walipue hao.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,271
  Likes Received: 22,842
  Trophy Points: 280
  Zitto anatafuta sifa tena.
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ulitaka afanyeje?
   
 7. R

  Radi Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Do kweli we ni Nyani Ngabu:shock:,,no more comment".
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,250
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  wewe nani kakutuma?? Au uko katika payroll ya ccm?? Au unajipendekeza uonekane kwa unawawafanyia wema?? Bull shit
   
 9. Luther3

  Luther3 Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We boga kweli! boga square!!unafikili kwa ku2mia nyayo zako?
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,250
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  we tumbili usirudie hasa inapojadiliwa issue yenye public interest, hujui kuwa mpaka leo mishahara kwa watumishi wengi haijatoka, yani wewe umewakejeli wengi, sijui km umelijua ilo, duuuuh tumbili wewe
   
 11. K

  KANUTI SILAYO Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa CDM hatuwezi kuongea tukaeleweka na kumbuka hoja ya kuongezeka kwa posho ilianzishwa na mbunge wa CUF jina si mkumbuki
  mbunge wangu Joseph Roman Selasini akaichangia na kuiundia hoja kua kweli posho iongezwe wakamshangilia kweli
  ila makamanda wa ukweli walikua Arusha kwenye kesi na Mpiganaji Zitto alikua India ndo maana wao watashangaa
  ila kama ulifuatilia bunge utakumbuka hiyo siku mbunge wangu alipotoa boko
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sifa zipi?Kwa lipi?Asifiwe na nani?Hivi unajua hizo posho ni kodi zetu ambazo tunazilipa kwa jasho?Hivi mtu kuhoji mgawanyo usio sawa wa keki yetu anakuwa anatafuta sifa?Sasa nimeamini kumbe nchi ikilaaniwa na sehemu ya wananchi wake nao wanalaaniwa!
   
 13. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado kuna watu wanayapenda hayo yanayofanywa chini ya Uvungu, kiasi watu wanapouliza wanasema inatafutwa sifa!!!!! Kweli safari ni ndefu sijui nao wamo?
   
 14. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  ishakula kwetu tena....uroho umewazidi huku wananchi wakitopea katika lindi la umasikini.....hawa wabunge wanawawakilisha wananchi wa nchi ipi ?
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,203
  Likes Received: 3,170
  Trophy Points: 280
  Ndio maana mmetandikwa na Anti Virus with no apology na wale Vinega kutokana na huu upuuzi wenu. Muulize Masoud Kipanya atakwambia kuwa nanii yako Ruge sio mtu mzuri. Kwanza we hulipi kodi Tanzania unafagia barabara US huwezi kuwa na uchungu na hizi hela zetu tunazokatwa kila kukicha kama kodi
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 9,766
  Likes Received: 2,029
  Trophy Points: 280
  Hivi issues za posho anayezungumzia ndani ya CDM ni zito tu?

  huyu jamaa alikuwa india wakati wenzake CDM wanavuta mshiko wa nguvu bungeni...leo hii analalamika na kutaka slaa awaite wote wajadili???

  Zito CDM wenzako siyo wasafi kivile..sema lingine
   
 17. N

  Ngeleshi Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Zitto alikua akifanya mahojiano na cloud radio, na taarifa hiyo kurushwa katika kipindi cha amplifier cha clouds jion ya leo.
   
 18. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Kwani wabunge ni watumishi wa serikali?
   
 19. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zitto mwenyewe India alienda kwa kodi zetu!
  Kwa hiyo ngoma ni droo tu
   
 20. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  vyovyote itakavyokuwa either watumishi wa serikali au wa umma,la msingi ni kuwa posho na mishahara yao vinatoka hazina kuu! Na ni kodi za watanzani! Wasijigawie watakavyo huku watanzania wengine tunakufa njaa!
   
Loading...