Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF, Mjadala wa JK kutoa nishani bado unaendelea. Hivi sasa ninajiuliza kama Kamati ya Mo Ibrahim iliona Mkaba hana vigezo vya uadilifu, hivyo hawakumpa Tuzo za marais wa Afrika, hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunajiandaa kufanya maandamamno nchi nzima kwa mara ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Tanzania kuamua kuilinda ardhi yetu kwa vizazi vijavyo tunafanya hivyo ili wale wanaofikiri kikwete...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Polisi Jijini Dsm wanamsaka Kainerugaba Msemakweli kwa lengo la kuzima harakati zake za kufichua ufisadi wa Kagoda. Polisi mmojawapo alizungumza na gazeti la Nipashe akasema--- Hapa kituoni kuna...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kesho tar. 10 Desemba Mhe. Freeman Mbowe atazindua fundraising campaign kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa la kisasa huko jimboni kwake Hai. Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Siku moja hapahapa JF nilionya juu ya viiongozi wa dini kualika hawa wanasiasa kwenye harambee za uchangiaji sasa leo asubuhi akihojiwa Channel 10 Mheshimiwa Mrema ameelezea umuhimu wa posho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuzo za viongozi mbalimbali hai na waliotutangulia zilizotolewa na Kikwete pale Ikulu siku ya jubilei ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wa wengi ni kanyagaboya ambayo Kikwete atakuja...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Katika diplomasia mara nyingi military show off ina implication ya kutuma ujumbe kwa wale unaodhani wanataka kuingilia uhuru wako. Je maonesho ya vifaa vya JWTZ na matambo ya Amiri Jeshi Mkuu rais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu Muhimu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siisikii CUF zanzibar na mikashikashi yake huku bara ndiyo kabisaa sijawahi waona huku mikoani tangu uchaguzi mkuu uishe zaidi ya uchaguzi wa Igunga walipopata aibu ya karne. Iko wapi ile CUF ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mhe Mbowe binafsi nikupongeze kwa uamuzi wako wa kuamua kujumuika pamoja na Watanzania wenzio katika kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Nchi yetu paliandikwa mambo mengi kubwa likiwa uamuzinwa...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
Binafsi nimeshangazwa na njisi sherehe ya miaka 50 wa Tanganyika (Tanzania Bara) zilivyotumiwa kutoa tuzo au nishai mbalimbali. Nimejaribu kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili kujuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Grace Macha, Hai MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa upepo unavyosoma Jk Hataweka mkono wake kwenye waraka wa kuwaongezea wabunge posho.hii ni kutokana na tishio la waalimu kugoma japo wamedanganya kuwa wameanza kulipa madeni yao,lingine ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii habari imenisikitisha sana ukizingatia tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru. Haya ndio mazao ya ccm na ujinga wa wananchi. Kweli ukimwona mtu yupo CCM jua ni mpumbavu! By The Citizen Reporter...
10 Reactions
117 Replies
10K Views
BAADA ya kupata ushindi mwembamba katika chaguzi mbalimbali ndogo za ubunge likiwamo Jimbo la Igunga, CCM kimeiagiza serikali iweke utaratibu mpya kuondoa chaguzi hizo, imefahamika. Habari...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Akihojiwa na Othman Miraji wa Deutsche Welle Mh. Shelukindo amekiri kuwa ni kweli mpango wa kuongezwa posho ya Tsh.200,000/=ulifanyika kutokana na ugumu wa maisha ya mjini Dodoma. Akiri rais...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
HAYA YAMECHAPISHWA KATIKA TOVUTI YA CCM, NI SEHEMU YA KAULI YA BW. WILSON MKAMA AMBAYO HADI SASA UTEKELEZAJI WAKE UMEKUWA NI KIGUGUMIZI NDANI YA CCM!!! Mafisadi CCM lazima wavue gamba Kutoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A Abbas Zubeir Mtemvu Abdallah Salum Sumry Abubakar Shaabani Abdallah Anna Margareth Abdallah Maida Hamad Abdallah Mohamed Rished Abdallah Abdi Hassan Mshangama Abdisalam Issa Khatib Abdul Jabir...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KUNA ofisa mwenzetu wa polisi kituo cha Kijitonyama ametumwa na Yuauf Manji amkamate mwanasheria na Mwalimu wa Chuo Kikuu Huria, Kainerugaba Erick Msemakweli, kwa madai kwamba alimuomba rushwa ya...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ukipenda waweza kuiita tetesi, news alert, breaking news au vyovyote upendavyo. Lkn habari zilizonifikia kutoka chanzo changu cha habari kilichoko ikulu na bila shaka yoyote ni mkaguzi na mdhibiti...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…