Mbowe kuzindua fundraising ya kujenga msikiti wa kisasa Hai

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kesho tar. 10 Desemba Mhe. Freeman Mbowe atazindua fundraising campaign kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa la kisasa huko jimboni kwake Hai. Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya kuzaliwa kwake.

Chanzo: EA Radio
 
Nadhani ni move nzuri kwa CDM dhidi ya propaganda za udini wanazozushiwa.
Safi sana!
 
Wamwalike na mh.El
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

Ningekuwa mwalimu wako ningekupa 100% score.
 
Nadhani ni move nzuri kwa CDM dhidi ya propaganda za udini wanazozushiwa.
Safi sana!

Ingekuwa ni move nzuri kama angewauliza waislamu wenzake katika chama chake taratibu za kutafuta rasilimali za ujenzi wa msikiti kwa taratibu za kiislamu, kuliko kutumia hizo njia zinazotumiwa na manaswara kujenga nyumba zao za ibada. Lengo si baya ila njia sio sahihi na inaweza kumletea matatizo na waislamu.
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

Gadaffi alitoa pesa kwa mbwembwe nyingi akajenga msikiti pale dodoma bila shaka msikiti ule akaupatia jina lake mwenyewe (msikiti wa gadaffi) ili aendelee kutambulika na kujulikana kote duniani kwamba amejenga msikiti

tujuze ule msikiti wanaoswali ni walibya?
 
at the best of my knowledge najua huu ni mpango wa ofisi ya mbunge, sio mpango wa CHADEMA.
 
Jibu zuri na si Ghadafi tu kuna bahadhi ya waislamu wengi wanatoa ili wapate sifa, Mh Mbowe nakukubali kaza buti mwendo mdundo achana na hawa vizabizabina, mbona wao hawajatoa? na ndio wa kwanza kukimbia misikitini wakisikia wanaombwa michango, kama huyu barubaru
 
at the best of my knowledge najua huu ni mpango wa ofisi ya mbunge, sio mpango wa CHADEMA.

Kwangu haibadilishi kitu iwe ni Mbowe, CDM au ofisi ya mbunge kuchangia ujenzi wa nyumba ya ibada hasa kwa waislamu kuna taratibu zake na ni wazi katika hili anayeitisha harambee jimboni kwa Mbowe hakushauriwa vizuri.
 
Gadaffi alitoa pesa kwa mbwembwe nyingi akajenga msikiti pale dodoma bila shaka msikiti ule akaupatia jina lake mwenyewe (msikiti wa gadaffi) ili aendelee kutambulika na kujulikana kote duniani kwamba amejenga msikiti

tujuze ule msikiti wanaoswali ni walibya?

Kumbuka hakuitisha harambee bali alijenga kwa mapenzi yake mara baada ya kupokea maombi ya wakazi wa pale.

Suala langu nihiyo harambee. Inakuwaje?

hujanielewa, pesa ya Gadaffi ni ya udhalimu na ni rasilimali iliyochotwa nchini libya kimabavu still yet imejenga msikiti Tanzania,

funguka wewe
 
Kwangu haibadilishi kitu iwe ni Mbowe, CDM au ofisi ya mbunge kuchangia ujenzi wa nyumba ya ibada hasa kwa waislamu kuna taratibu zake na ni wazi katika hili anayeitisha harambee jimboni kwa Mbowe hakushauriwa vizuri.

Naomba utujuze taratibu za kuchangia ujenzi za nyumba za ibada hasa misikiti wa faida ya wanaonuwia kutoa michango ya ujenzi.
 
Uislam unakataza kutoa kitu/msaada hadharani na kwa majigambo. Unasisitiza unapotoa kwa mkono wa kulia basi ule wa kushoto usione.

Sasa nashangaa kusikia harambee ya kujenga msikiti.

Labda mnijuze ni msikiti wa Kisiasa?

Na hizi wanazotuchangisha barabarani kila siku ni kwa nmna hiyo hiyo? Inaonekana hata tafsiri yaquran huijui vizuri, wasoma kama gazeti yakhe!
 
hujanielewa, pesa ya Gadaffi ni ya udhalimu na ni rasilimali iliyochotwa nchini libya kimabavu still yet imejenga msikiti Tanzania,

funguka wewe

Naona kwa hakika hujui usemalo, kwani Gadaffy kamdhulumu nani? Labda kawadhulumu wamerakani na wenzake wa NATO kwa kuwazuia wasijichotee mafuta ya Libya kama wanavyofukua dhahabu yetu hapa bongo na kutuachia chengachenga na mishimo! Gadaffy alidhibiti mafuta ya Libya kwa 100% ndio maana wananchi wake walineemeka, kilichozidi alisaidia kwenye nchi maskini za Afrika, hakuondolewa na wananchi wake bali kwa nguvu za NATO na vibaraka. Kama ni misaada inayotokana na mabavu na dhuluma ni ile inayotoka nchi za magharibi wanaotunyonya rasilimali zetu kisha wanajidai kutusanifu na misaada ya masharti ya kulawitiana! Mh Mbowe kusaidia ujenzi wa Msikiti jimboni mwake ni sahihi kwani wananchi wa jimbo lake waliomchagua ni wa dini mbalimbali wakiwemo Waislamu, hata Baba wa Taifa kule Butiama alijenga msikiti wa kisasa.
 
Back
Top Bottom