Polisi Jijini Dsm wanamsaka Kainerugaba Msemakweli kwa lengo la kuzima harakati zake za kufichua ufisadi wa Kagoda. Polisi mmojawapo alizungumza na gazeti la Nipashe akasema--- Hapa kituoni kuna polisi mwenzetu anamtafuta Msemakweli eti kwa kutumwa na (wakubwa?). Yaani badala ya kutafuta mwizi anatafuta mfichua siri. Hii ni aibu kwa sisi polisi. Kainerugaba alikiri kutafutwa na polisi.
Kwa maoni yangu;
Polisi kutumika kisiasa intaweza kuhatarisha usalama wa nchi.
Kwa maoni yangu;
Polisi kutumika kisiasa intaweza kuhatarisha usalama wa nchi.