Tanzania inamtisha nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inamtisha nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Dec 12, 2011.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika diplomasia mara nyingi military show off ina implication ya kutuma ujumbe kwa wale unaodhani wanataka kuingilia uhuru wako. Je maonesho ya vifaa vya JWTZ na matambo ya Amiri Jeshi Mkuu rais Jakaya Kikwete kwamba ifikapo 2015 tutakuwa na Jeshi la aina yake. Nadhani kuna mambo hatuyajui ya chinichini ukizingatia kujivutavuta kwa Tanzania katika Jumuia, kutoshiriki kwa viongozi wakuu wa nchi za Afrika Mashariki kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kunaweza kutafsiriwa kama ni dalili za nationalism katika jumuia. Je Tanzania inatuma ujumbe gani hasa ukizingatia mwenendo wetu kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki?
  4-up on 2011-12-12 at 13.32.jpg 4-up on 2011-12-12 at 13.32.jpg
  Vifaa vya Jeshi la Anga la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), vikitoa heshima kwa mgeni rasmi rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara 9/12/2011 katika uwanja wa uhuru, Dar es Salaam

  Uhuru na Kazi
  GZ
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikiri siyo Tanzania inamtisha mtu bali ni JK na CCM yake walikuwa wanawatisha Chadema kuwa nguvu ya umma wanayotegemea inaweza kuzimwa na nguvu ya kijeshi, na hii ni kutokana na ukweli kuwa JK na CCM yake ni vilaza wasiotaka kujifunza kutokana na matukio ya kidunia yaliyozikumba nchi nyingi ambapo nguvu ya kijeshi imeshindwa na nguvu ya umma
   
 3. kajwa

  kajwa Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani hapo ilikuwa inamaanisha kuwa tuchomoe neno moja kwenye kauli mbiu yetu ya uhuru kuwa......


  "TUMEWEZA"
   
Loading...