babad
Member
- Feb 9, 2011
- 95
- 13
Siku moja hapahapa JF nilionya juu ya viiongozi wa dini kualika hawa wanasiasa kwenye harambee za uchangiaji sasa leo asubuhi akihojiwa Channel 10 Mheshimiwa Mrema ameelezea umuhimu wa posho kupanda kwa kisingizio cha kutoa michango ya ujenzi ambapo anasema ameshachangia zaidi ya Millioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa misikiti na makanisa aliyoyataja na bado anadaiwa.
Kazi kwenu viongozi wetu wa dini kwani inaelekea mmekuwa mnawaalika makusudi kuwakamua
Kazi kwenu viongozi wetu wa dini kwani inaelekea mmekuwa mnawaalika makusudi kuwakamua