Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, uamuzi wako ni wa busara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, uamuzi wako ni wa busara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Dec 9, 2011.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhe Mbowe binafsi nikupongeze kwa uamuzi wako wa kuamua kujumuika pamoja na Watanzania wenzio katika kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Nchi yetu paliandikwa mambo mengi kubwa likiwa uamuzinwa CHADEMA kugoma kuudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru but I thank you for proving them wrong.

  Katika hili umethibitisha kuwa katika mambo ya kitaifa unaweka mbele Uzalendo na si bla bla. Niseme tena hongera sana. Blsd be Tanzania, her people and her Leaders as well.
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kumbe nae kaenda kuadhimisha miaka 50 ya uhuni wa ccm???!! Aseeee!
   
 3. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Na kumepigwa wimbo wa kichaga ajisikie vizuri!
   
 4. Imany John

  Imany John Verified User

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Je anachekacheka kama raisi?
  Kuhudhuria ndo kushangilia?
   
 5. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda wetu kaenda kushuhudia jinsi fedha za wavuja jasho wa kitanzania zinavyotumika vibaya kwenye mambo yasiyo na tija kwa maisha yetu ambayo yanazidi kushindikana kila siku iendayo kwa Mungu.Big up kamanda Mbowe najua utarudi na mengi ya kutueleza watanganyika.
   
 6. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  safi sana kamanda Mbowe...watafute lingine la ku2chonganisha na wananchi!PEOPLES....
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Ameenda kusherekea siku yake ya kuzaliwa na kutafakari jinsi twin wake Tanganyika alipokosea wapi; kubadili jina na kufunga ndoa iliyogeuka kuwa ndoano!
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kakaa nyuma ya Rais ni uzalendo wa juu pongezi kwako
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Dr naye yupo,amekaa jukwa la watu wa Tanganyika
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Magwanda tu ndio sijapenda kuingia nayo kwenye sherehe za kitaifa je wa CCM nao waingie na kijani? hapo mbowe umeboa wajibika kwanza kwa taifa lako badala ya chama.
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hivi miwani ya mbowe kwa nini ina giza sana utafikiri ni wale maafisa wa ulinzi wa marais wa marekani
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Dr Slaa anakwepa kamera kwani kalazimishwa kwenda uwanja wa Taifa, Mbona mwenzie mbowe yuko huru anaonekana. Au ni hofu ya kukamatwa na polisi kwa ile kesi ya Arusha? Dr jitokeze basi tukuone
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kinachonifanya niwapende chadema ni kwamba wakisema wanaandamana nchi nzima hawaandamani ni vitisho tu na wakisema tutasusia sherehe za miaka 50 ya uhuru pia ni vitisho tu wapo uwanjani....... kumtishia nyau
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Yuko kiraia zaidi!anapiga stori na watanganyika huku!wenye kamera hawajamshtukia!Kaja na mgorore wa ki'iraqw
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Naendelea kujiuliza mbona chadema hawakutoka nje ya uwanja wa taifa Jk alipoanza kuingia?
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  kaingia na vazi la taifa la kabila lake
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Asili ni asili tu!ni ngumu kuiacha!
   
 18. N

  N series Senior Member

  #18
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe kweli jojo,unaonekana unalambwa sana eh. ?
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Even me nimekubali hii..kwa wale wasiojua siasa na muelekeo wa Tanzania kwa sasa wanaweza kumlaumu Mbowe..jamaa kafanya vyema..hasa kukwepa siasa kuwa CDM wanapinga Muungano na vitu kama hivyo...
   
 20. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #20
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mimi naadhimishia miaka 50 ya magamba na watanganyika wenzangu huku kijijini kwetu. Ingawa tunashuhudia tukio kupitia runinga ya jirani kwa tsh.500
   
Loading...