Kikwete aipasua zaidi CCM kwa upendeleo wa tuzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete aipasua zaidi CCM kwa upendeleo wa tuzo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Dec 11, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Tuzo za viongozi mbalimbali hai na waliotutangulia zilizotolewa na Kikwete pale Ikulu siku ya jubilei ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wa wengi ni kanyagaboya ambayo Kikwete atakuja kujutia siku yake. Bora angeacha kutoa tuzo hizo kabisa. Kwani kilichotokea ni kuonekana kwa tafsiri nyingi zambazo ndani ya CCM kuna wanaoshangaa baadhi kutopewa tuzo hizo wakati wanastahili. Baadhi ya walioachwa kama Adam Sapi ambaye ndiye speaker pekee aliyetumikia ofisi hiyo kwa miaka mingi, hali kadhalika Samweli Sitta ambaye alilijengea sifa kubwa bunge lililopita na kuwa bunge la kwanza kuibua madudu ya ovyo ndani ya serikali, na wengi wetu wanajua hilo. Gharama za tuzo alizotoa Rais juzi pale Ikulu kishindo chake tutakisikia siku zijazo ndani ya kambi za CCM.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  HIvyo viatu vya hawa Marais khaaaaaaaaaaaaaaaa km mitumbwi duh
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kumbe na Adam Sapi Mkwawa hakupewa!!!!!!!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kati ya hizo picha tatu lazima utamjua rais wa ukweli!
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wajua tatizo ni kutokwenda wenyewe madukani kuchagua, bali huchaguliwa na wapambe. Mwenzao Obama hata maboga ya kula na mapambo ya ikulu anakwenda mwenyewe kuyachagua dukani ana kuyanunua.
   
 6. L

  LIZAPIA Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nani fisadi hapo????......
   
 7. K

  Kachest Senior Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fisadi No. 1 - Mkapa kauza nchi yetu tulikuwa tunagopa
  Fisadi No. 2- JK anashindwa na alishindwa kutekeleza ahadi zake.
   
 8. K

  Kachest Senior Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee Ruksa kiatu miaka 15 iliyopita kama sikumbuki vibaya wakati anaaga ndicho alivaa serikali hampa kingine
  Mkapa inaonyesha Mama anavyojali
  JK cha juzi mwarabu kaleta
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Utampaje tuzo posthumously Rajab Diwani na ukamuacha Masudi Mtandika; utawapa tuzo ya uchumi wakina nani kama siyo akina Amon Nsekela jinsi walivyolitumikia Taifa hili katika nyanja mbalimbali!! Utoaji hizo tunzo ulikuwa na walakini mkubwa na kuliharibu umuhimu wa ile siku.
   
 10. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Nasikia Nkapa analilia kurudi ikulu tena twafwa!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naona Anne Makinda kapata sijui kwa kukaa bungeni muda mrefu? Hivi wanapata hata hela?
   
 12. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na Je, mbona kama vile miguu ya J.K haimo kwenye suluali?
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  viatu vya Mzee Mwinyi si mchezo, na hiyo suti ya mkulu, sijui kwa nini suruali haikupindwa, alafu viatu kama oversize vile. Big up Ben, very smart compared to your fellows.
   
 14. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baba yake Mbowe (Mbowe Senior) ni mtu ambaye pia alistahili hiyo tuzo sema tu JK kaibadilisha imekuwa ya kichama zaidi na kuifanya ya Mawaziri Wakuu na Marais Wastaafu utadhani ndio wachapa kazi peke yao. Kama mtakumbuka Mzee Mbowe ndiye aliyekuwa anafadhili harakati zote za Mwalimu Nyerere. Ni kama Sobodo na CDM leo hii.

  Mzee Edwin Mtei nae alipaswa apewe hiyo tuzo kwa mchango wake wa kusimamia sera yake ya Ubepari ambayo ilipingwa vikali na Nyerere hatimae akajiuzuru. Lakini baadae miaka ya 1990 serikali ikaanza kufanyia kazi mawazo ya Mtei. Na ndiyo inayoyatekeleza hadi leo.
   
 15. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  jk huwa anatinga mwenyewe usawa wa duka bana. hivyo kwake msilaumu wapambe,
   
 16. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  hiyo suti inaonyesha jk kapungua hasa, dah!
   
 17. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu mimi sio mkandarasi ila hizo tiles mnazionaje.Au ni macho yangu naona kama vile setting yake haiendani na ile budget yetu ya ukarabati wa ikulu.
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahaaa!!!
  yani Kikwete anapenda maigizo sana. yatam-cost mbaya huko tuendako.
   
 19. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,155
  Trophy Points: 280
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,155
  Trophy Points: 280
  Hizo tile ni mbaya zinafanana na zile za chooni maryland full harufu ukiingia once hutoenda tena..

  jk inaelekea amepachoka hapo, tiles Nyeupe huwekwa Chooni tu. Mzee Mwinyi bado anapiga Four Angle tu Dah!-
  Jk Pia anaonekana Bado mwanajeshi sababu viatu alivyovivaa ni vya maafisa wa Jeshi.

  Kuvaa Vizuri unahitaji upate Mtaalam Kama anatizama Movie Namshauri amuulize jamaa yule kwenye Movie ya Pointman. Mtaalam wa Kuvaa mavazi yanayo fit na kumatch
   
Loading...