Utabiri wangu Mhe JK hatatia sahihi waraka wa ongezeko la posho za wabungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wangu Mhe JK hatatia sahihi waraka wa ongezeko la posho za wabungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 12, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwa upepo unavyosoma Jk Hataweka mkono wake kwenye waraka wa kuwaongezea wabunge posho.hii ni kutokana na tishio la waalimu kugoma japo wamedanganya kuwa wameanza kulipa madeni yao,lingine ni wananchini kupiga kelele kupitia vyombo vya habari.fanya hivyo JK
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,753
  Trophy Points: 280
  Mle hamna kitu, atasaini tu, si anayo majeshi ya kudhibiti migomo na maandamno?Mkuu hukusoma ujumbe aliokuwa anatuma kwa umma wa watz siku ya maadhimisho ya miaka 50 ya Tanganyika? Anajidanganya sana huyu kuwa kwa kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu basi lolote analolitaka lazima liwe.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Unatabiri au unarudia habari ambayo iko kwenye magazeti kwa zaidi ya week sasa? Soma raia mwema toleo la jumatano iliyopita, inasema wazi kabisa kuwa rais amegoma ku-sign waraka wa posho.
   
 4. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Nchi imefilisika, hataweza kusaini ndo maana amemwambia vuvuzela wake adanganye kwamba hata CCM hawataki ongezeko...
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Emu rekebisha heading ya thread. Posho za 'wabungu' ndiyo nini?
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Rafiki, analysis yako sio sahihi. JK hana maamuzi yanayojitegemea-independent thinking/reasoning and decisions!!! If it were Nyerere, then you would be right. Sikutegemea kama Jk angelisaini muswada wa sheria watanzania kwa mamilioni walivyopiga kelele!!!! Akawapuuza!! hawezi kuwaudhi wabunge wa CCM, anawaogopa. Nyerere kwa jambo la msingi kama hilo alikuwa tayari kuvunja bunge wakahukumiwe na wananchi. JK hana ubavu/ujasiri huo na hatakuwa nao milele!!!
   
 7. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Atasaini kwa kishindo....
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Posho za Wabungu? hebu badilisha heading....
   
Loading...