Greetings Wadau, mud a punde tutakuwa hewani Kama tulivyoahidi kupata version ya upande wa pili katika mgogoro unaozizima na muhimu wa na tafsiri tofauti ndani ya CUF
Unaweza kuwauliza Maswali...
Siyo mara yangu ya kwanza kushangazwa na hii sirikali ya JK wa pili. Hivi kwa nini watu wanakosa utashi wa kufanya mambo kwa akili zao na badala yake wanafanya kazi kwa kutumia akili za watu...
Wasalaam Aleihkum wana JF,
Wahenga wanasema "vita vya panzi furaha ya kunguru na pia adui yako muombee njaa! Huu ndio ujumbe ninaoweza kuutoa hapa leo JF: nina uhakika hamna anayefurahia migogoro...
kwenye kampeni ya bomoa bomoa watu waliovamia barabara licha ya kukatazwa na pinda na JK yeye alibomoa na kuacha haibu kubwa kwa JK na Pinda . sasa sakata la nauli za kigamboni lipo kwa pinda...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama Cha Wananchi (CUF) imefanya kikao chake cha kawaida cha siku mbili mjini Zanzibar tarehe 30 31 Desemba, 2011 chini ya Katibu...
Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba...
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim seif Shariff Hamad ambaye pia ni makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi (inayoongozwa na sera na ilani ya CCM) jana alijkwenda kwenye mkutano wa chama chake...
Jangwani Dar wakihama na Serikali ihamie Dodoma?
Privatus Karugendo
WASOMAJI wangu nianze makala hii kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya. Tumshukuru Mungu kwa wema wake kutuvusha kuingia mwaka wa...
nipo maeneo ya ferry kigamboni maarufu kwa bi tulule opposite na kwa watoto yatima.vijana wameniita kutaka ushauri wa kisheria.wamepanga kesho wavuka kwa mbizi kwa pamoja kunusuru 200...
Jangwani Dar wakihama na Serikali ihamie Dodoma?
Privatus Karugendo
WASOMAJI wangu nianze makala hii kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya. Tumshukuru Mungu kwa wema wake kutuvusha kuingia mwaka wa...
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa serikali ya Zanzibar, Mh. Maalim Seif Hamad leo atakuwa akihutubia katika viwanja vya Bakhresa-Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8...
Wadau:
Makala hii iliyotoka katika The African siku ya Jumamosi mwandishi anawalaumu viongozi wa CUF, kwamba kutokana na ukweli kwamba chama hicho kinaporomoka sana uungwaji mkono huku Bara...
8th January 12
Why rotating union presidency dangerous
Mwinyi Sadallah
A well placed cabinet minister in Zanzibar has criticized recent demands by some quarters on the Mainland and...
Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo...
Demokrasia imeshuka kwa % kubwa sana Tanzania. Kumekuwapo na mambo yasiyofaa na ya kinafiki kama vile kumwachia rais aliyepo madarakani amalizie kipindi chake cha miaka 10! Au mwenyekiti wa chama...
Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo...
Slaa alipua kombora jingine
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbord Slaa, amelipua kombora jingine kwa kuziweka hadharani kampuni zilizoshindwa kurejesha fedha za...