Vipi sherehe ya ANC na ndege ya serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi sherehe ya ANC na ndege ya serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Indume Yene, Jan 10, 2012.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau, nimekutana na habari pamoja na picha from Ngowi. Kinachonishangaza ni vipi sherehe za chama cha ANC ki-prompt matumizi ya ndege ya serikali? Je ni nani karipia hizo gharama za kumsafirisha Mkapa na mkewe kwenda kwenye hizo sherehe za ANC wakati huo ndege ya serikali ikitumika?

  Sina mzozo na Mkapa kwenda kumwakilisha Mwenyekiti wa CCM, lakini nachojiuliza ni nani kalipia hizo gharama huku ndege yetu ikitumika kwenda kwenye sherehe za kichama?


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Kwa ccm ni ngumu kutofautisha chama na serikali
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona wanafanana Mkapa na Mukama..obesity wote
   
 4. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Someone needs to make them accountable.
   
Loading...