Je migogoro ndani ya CUF na NCCR ni mbinu ya kuhamisha mjadala wa katiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je migogoro ndani ya CUF na NCCR ni mbinu ya kuhamisha mjadala wa katiba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Jan 10, 2012.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna fununu ya kuwa migogoro na habari mbalimbali inazushwa ili kupunguza mashinikizo ya serikali katika jambo fulani....tuliona wakati pinda kabanwa kuusu kudanganya Arusha yakazuka mabomu ya gongo la mboto na babu wa loliondo. Tumeona serikali ilipobanwa kuhusu katiba wameamua kuzusha maswala ya posho, mara kuwatumia CCM B kuzusha mgogoro kati ya Hamad rashid na SEIF Sharif
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe ni shetani wa kisiasa. Kazi ya shetani ni kuwapotosha watu na wewe unafanya kazi ya kuwapotosha watu kisiasa, unayoyasema hayaiingii akilini. Fununu zako peleka jukwaa la tetesi siyo hapa.
   
 3. N

  NGONYA NM Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala sio shetan ndivyo serikal ye2 ilivyo. Inawezekana kabisa ndo mbinu yakupunguza mijadala iliyokuwa inaendelea kuhusu katiba
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  yani kuna binadam wengine sijui wanafikiria by using MASABURI? Ivi unaweza kukaa na kuja na hoja dhaifu kama hiyo,ina maana poshon kwa wabunge ni ishu ndogo kiasi cha kuitumia kama kivuli?au maafa ya gongo la mboto kwa hiyo maisha ya watu unaona si kitu?kweli wewe una matege ya ubongo.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hoja ya kijinga.kajipange upya ondoa upupu wako hapa.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli ndani yake.
  Njoja J.Bourne haje hapa
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Msimshambulie mtu kihivyo kama hamjamwelewa kiundani.
  Mngfahamu jinsi akili za wanaotutawala(si kuongoza)zilivyochoka msingemshambulia huyu jamaa.
  Tafakari chukua hatua.
   
 8. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No!! Haupo sahihi kwa hili, case Kama ya kafulila kaponzwa na ukweli uliopitiliza.....amekua muwazi while chama chake si sera zake hizo....na Hamad the same, na zaidi ametishia nafasi ya mtu katika madaraka yake, sasa hauwezi kusema serikali inatumia kupunguza shinikizo la Katiba....elewa hauwezi Ku discuss Ishu moja kila siku matukio Ni mengi yanatokea and we've to go with a flow.
   
 9. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja haina mshiko kabisa, yani kiufupi umekurupuka.
   
 10. k

  king11 JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka ungeishi somalia ungekuwa gaidi lakini kwakuwa upo Tanzania utastaharabika pole pole....sifa kubwa la jukwaa hili ni hoja si matusi lakini naona kila hoja ikizidi upeo wa ubongo wako basi unakuja na matusi ....si kila hoja lazima uchangie, unaweza kuanzisha jukwaa la matusi litakufaa sana hili la siasa litakuumiza kichwa


  modi naomba umwanzishie huyu mtu jukwaa la matusi linaweza kumsaidia kwani hana hoja zaidi ya kutukana
   
 11. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  masaburi at work, uharoo mh nuka
   
Loading...