Not mineral resources to money; but mineral resources to technology: says T.B.Joshua

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Prophet Joshua anasema njia pekee ya kufight poverty, unemployment na corruption in Africa ni kuuza Madini na other Natural resources kwa technologia na sio dollar au pound!

Akitolea mfano nchi yake, amesema wakinadilishana oil na technology hata mafisadi watakosa pesa za kufilisi na hiyo technology itazaa viwanda na shida ya unemployment itapungua.

Nini mawazo yenu?
 
Sijaelewa ni technolojia gani aliongelea.Lakini nadhani tehnolojia nyingi hazina copy right kama kutengeneza nguo,n.k au unachohitaji ni kununua mashine na kuanza uzalishaji alikuwa anaongelea ipi?
 
Sijaelewa ni technolojia gani aliongelea.Lakini nadhani tehnolojia nyingi hazina copy right kama kutengeneza nguo,n.k au unachohitaji ni kununua mashine na kuanza uzalishaji alikuwa anaongelea ipi?

Nimekuta katikati; lkn nafikiri point yake kubwa ni kutogemea monetary means of an exchange; kwani ni rahisi kuwa swindled hence kunufaisha wachache. Lkn new and appropriete technology itawanufaisha wengi hata kama wachache wakiimiliki. Say viwanda au hata Kilimo cha kisasa!
 
Good point.

Should we apply it, say tuwaambie Barick, badala ya kutulipa hivyo vijicent kiduchu watupe technology pamoja na machinery ya kuprocess hizo minerals ili tutengeneze jewels wenyewe large scale?
 
that will be the sufficienty way to reduce unemployement will be the preparation to generate our economy
 
that will be the sufficienty way to reduce unemployement will be the preparation to generate our economy

Eti eeh!
Imagine, vijiji vinavyopakana na migodi (sayKakola Kahama) badala ya kulipwa fedha kiduchu, wajengewe kiwanda cha kuprocess mazao ya pamba; badala ya hiyo ruzuku kutumiwa kwenye vikao vya halmashauri kulipana posho!
 
Give me a fish and I will eat one day, teach me to fish and I will never starve again!
 
Ana mawazo mgando. Hiyo teknolojia inakuja bure? halafu aelewe kuwa teknolojia hainunuliki. Kama hauna ma teknolijisti utaambulia teknolojia zilizopitwa na wakati.

Aelewe kuwa nchi zote zenye teknolojia ya juu, zina wasomi waliobobea na wanafanya tafiti za hali ya juu na hazimei tu kama miche ya muarabuini, na hawapo tayari kukuuzia teknolojia ya kukufanya wewe uwe "on the par" na wao, wakale wapi?

Huyo ni "prophet" wa uongo.
FF idea ya T.B Joshua ni nzuri kwa mapana yake! Tungetumia vizuri bongo zetu tungefaidi technologia kwa asilimia kubwa zaidi kupitia maliasili zetu.
 
@FF
Anaweza kuwa nabii wa uongo ndio; lkn hakuwa anatoa unabii wowote pale, alikuwa anatoa mchango wake wa mawazo kama muafrika!

Na kumbuka hana shule pia; to me naona kama ana revolutionary thinking au he is trying to think outside the box if u like. Trade tufanyayo siku zote exchange ni goods for money; na pesa ni rahisi kuwa misappropriated; wenzetu wanahitaji mineral resources na akatolea mfano oil, nasi twahitaji technologia (pamoja na kusomesha wataalamu wetu); ambapo tukipata sio rahisi kuwa manipulated Kama pesa zinavyoweza kupelekwa kwenye mabank ya Uswiss!

Mimi sioni tatizo liko wapi!

Now by the way kuhusu unabii wake; for 2012 katabili yafoatayo.
1: tatizo la economic crises ni kubwa kidunia kuliko hayo mabomu na vita (atasalimika atakaye invest kwenye Kilimo cha chakula)
2. Something huge is going to happen in Nigeria on the 19 this month
3. Kenya (Nairobi) kutatokea shida (next month kama sijakosea)

U can check him out if u like!
 
FF idea ya T.B Joshua ni nzuri kwa mapana yake! Tungetumia vizuri bongo zetu tungefaidi technologia kwa asilimia kubwa zaidi kupitia maliasili zetu.

I agree with u; hata technology ambayo ni 20yrs old kama ni appropriate kwetu is a plus!
 
Give me a fish and I will eat one day, teach me to fish and I will never starve again!

Very simple! Sadly kila kukicha tunatembeza kibakuli.
Na ripoti za mkaguzi mkuu zilianisha how much money haziweza kuwa accounted for? Tungepata in terms of percentage, l can bet ni more than what we get from minerals.
 
Jamaa ana akili sana nimemskia jana .

Umeona eeh; too bad viongozi wetu ni kama sikio la kufa! Lowasa anaenda kule kujua tu fate yake ya uraisi, l wish wangeenda kuchota tubusara kiduchu tu!
 
Naona kuna vitu vingi sana vinavyooendelea katika ulimwengu huu wa utandawazi, watu hatuna ufahamu navyo.
Hayo maneno yangekuwa na maana kubwa kama angeyaongea kwa hao wenye technology.
Dhamira zao zipo dhahiri, na uwezo wetu unaeleweka, terms huzitengeneza wao.
Kuna mambo yatupasa tuyafanyie kazi kabla ili kuweza kuwa na uwezo wa kuwa na hayo maamuzi.
Else we will keep serving under their terms and conditions.
 
ana mawazo mgando. Hiyo teknolojia inakuja bure? Halafu aelewe kuwa teknolojia hainunuliki. Kama hauna ma teknolijisti utaambulia teknolojia zilizopitwa na wakati.

Aelewe kuwa nchi zote zenye teknolojia ya juu, zina wasomi waliobobea na wanafanya tafiti za hali ya juu na hazimei tu kama miche ya muarabuini, na hawapo tayari kukuuzia teknolojia ya kukufanya wewe uwe "on the par" na wao, wakale wapi?

Huyo ni "prophet" wa uongo.

prophet tb joshua anamwakilisha mungu yesu active...sio mungu mwingine aliye lala//
 
Back
Top Bottom