Ma RC na DC kuwa Kamati za Siasa za CCM za Mikoa na Wilaya nii Siasa za Chama Kimoja au??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma RC na DC kuwa Kamati za Siasa za CCM za Mikoa na Wilaya nii Siasa za Chama Kimoja au???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PMNBuko, Jan 2, 2012.

 1. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF, Heri ya Mwaka Mpya 2012! Kitendo cha Wakuu wa Mikoa (RCs) na Wakuu wa Wilaya (DCs) ambao ni viongozi wa Serikali kuwa Wajumbe wa Kamati za Siasa za CCM katika ngazi husika, ni halali??

  Huu si ni mfumo wa wazi wa Chama Dola? Si kiashiria ambacho bado kinaendeleza sera za Chama kimoja??? Waungwana, naomba tujadili hili ili ikiwezekana lipigwe marufuku mara moja maana athari zake ziko wazi. Huku kwetu DC aliwahi kuamuru Ofisi za Chadema zifungwe na kujenga banda la Kampeni za CCM na kusema ukweli siasa za CDM zinafanyika kimya kimya. Karibu tujadili...
  .
   
 2. R

  Rutatinisibwa Senior Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Majadiliano hayawezi kuendelea mpaka hapo utakapo acha kuvuta hiyo bangi yako!
   
 3. D

  Dislike Senior Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa watu wananikera sana bora kusiwe na RCs wala DCs hawana mchango wowote kwa jamii.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kiukweli hiyo haijakaa sawa there is time naona wale kama viongozi wa chama zaidi kuliko serikali yenye watu mchanganyiko. hili halikoo sawa but kwa sasa nothing can be done mpaka katiba mpya ielekeze otherwise, oovyoooo sana!
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,952
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  nawachukia ma DCs na RCs
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Dawa yao hao ni Katiba Mpya,kadhalika ni ghali mno kuwagharamia
   
 7. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya katiba mpya, kuna kitu tunahitaji kukifanya kama wadau. Kulalamikia mfumo huo. Lazima serikali itueleze kama katiba yetu inaonesha kuwa mojawapo ya majukumu ya RCs na DCs ni pamoja na kazi za kamati za siasa za ccm???
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haha hah haha CCM huwa wanafikiri enzi za Chama kimoja
   
 9. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha haha, starehe yangu iko hapa. Naweza kuwaza zaidi nikiwa natumia kitu hii... siyo bangi bali soft cigarete
   
Loading...