Mashabiki wengi wa CHADEMA hawana kadi za chama, kelele ndo nyingi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashabiki wengi wa CHADEMA hawana kadi za chama, kelele ndo nyingi tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Jan 10, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkubali msikubali wale ambao tumewasiliana nao privately mtakubaliana na mimi kila unayemuuliza wewe mwana CDM kadi yako namba ngapi na uliichukulia wapi wanjiuma uma tuuuu. Tunaaamini kuwa kura yako ndiyo italeta mabadiliko lakini tuwe na justification kuwa sisi ni wanachama. Tuchukue kadi na tuzilipie kila mwezi/mwaka chama kipate kipato walau cha kutengeneza bendera.

  Kwa utafiti wangu usio rasmi kwenye vijiji vya chato, biharamulo, ngara na Muleba.......bendera ya chadema ina influence katika akili za watu. Zamani usingekaa kwa amani kwa kutundika bendera ya chama pinzani kwenye numba yako lakini kwa sasa......afanyaye hivyo huonwa kama shujaa.

  Kitu kingine ni kuwa kule vijijini ambako baadhi ya watu huuza pobe za asili ( na sio za kienyeji kama wengine wazitukavyo) aidha chini ya miti au kwenye vilabu.......yule awekaye bendera ya chama hiki CDM wanakijiji huelekea pale kwa wingi kwa mapumziko kulinganisha na muuzaji aliyetundika bendera ya Magamba. Si unaona. Lakini bendera zilizoko sasa kwa viongozi vijijini zimeshachakaaa wakati chama chetu ndi kwanza kimeongeza mvuto na kukubalika kwa jamii.

  Wapenzi wa CDM (na hata humu ndani ya JF) tuwe na identity ili tuaminike/tuaminiane ili tuweze kuipigania nchi hiii. PIA CHAMA KITAWEZA KUJUA KUWA KINA MTAJI KIASI GANI wa wanachama. Mpago mkakati wa CDM uko wapi kwa mwaka huu? Njooni vijijini huku tulipo mjini tumeshasonga mbele kiasi fulani.........

  Nawasilisha.

  CHADEMA hadi hivi sasa tungesha tengeneza zaidi ya Millioni 50 za Kitanzania kwa kuuza magwanda. Ikitokea mtu akafungua baroo la mtumba wadau wakakuta nguo inyoelekea kufanana na gwanda la chadema inakuwa ugomvi na watu wanalipandia dau kama nyumba ya mnada. Kumbe ili tupate fedha za kutengeneza ofisi za matawi vijijini Uanzishwe mradi wa kuuza magwanda kwa mwanachama anayependa. Nina imani hii inaweza kugeuka kuwa uniform vyuo vikuu, kwa vijana wote na wenye uchungu na nchi hiii.

  Ngoja niwaulize na wana JF: Eti jamani vipi magwanda au kama biashara hiyo imeanza tupeane contacts hata sisi wa mikoani tuweke order.

  Nawasilisha.


  Mimi = Kila kukicha nazidi kuichukia CCM sasa sijui sitapasuka kwa hasira kufika June mwaka huuuu!!!!!!!!????!!!
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nilisahahu kuwapongeza wale ambao wana kadi tayari..................ila mnazilipia? Tukishindwa kuwa serious kwenye mambo madogo.....kwa yale makubwa itakuwa ngumu kufanikisha..jameni.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Good point
   
 4. j

  jigoku JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja na natoa wito kwa wale wapenzi wa chadema na mashabiki tukamilishe jambo hili la kuwa na identity ya chama kwa kuwa na kadi ya uanachama,hili ni jambo la busara sana kama kweli hatupiganii ukombozi kwa kufikirika.

  Tunatakiwa kuwa na kadi na pia tutoe mchango wetu wa taaluma, mawzo yetu bila kujali kiwango cha elimu na ikibidi tuchangie kwa hali na mali. Tutoe mchango wetu wa kuhakiksha chama kinasonga mbele na tujiandae mapema kwa ukombozi wa nchi kutoka kwa wakoloni weusi ambao wanaongozwa na CCM-Magamba.

  Tufungue ofisi za matawi, mashina, wilaya na mikoa, pale ambapo hakuna fedha za kupangisha ofisi basi tuchange pesa tukodi walau chumba kimoja au viwili,tutumie elimu yetu kila tunapopata muda kutoa elimu ya uraia natushiriki katika kusambaza na kutoa habari muhimu kwa wananchi. Lakini pia kwa wale ambao hawana kadi za kupigia kura basi itakapotokea uboreshaji wa daftari la wapiga kura basi tujiandikishe tuwe zile voters card jamani,hakuna wa kutokomboa kama sio sisi wenyewe.

  PAMOJA TUTASHINDA
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja mkuu, kadi yangu ni namba 0511652.
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Kweli mkuu lakini mashabiki wa chadema wote ni wale wanaokerwa na uongozi mbovu wa magamba, chadema kinapata wafuasi kila kukicha mi mwenyewe nimechukua kadi juzi tu baada ya kuwa mshabiki wa mda mrefu .

  Changamoto ni kwamba kadi hazitoshi na zinaisha haraka kwenye ofisi za majimbo, watu wanazinunua kama mchele, magamba pamoja na kugawa bule kadi zao wananchi hawachukui, mbona 2010 na tulishinda lakini ndio hivyo magamba walituchakachua? 2015 patakuwa padogo, ngoja katiba mpya iandikwe, mgombea uraisi tutamshitaki kama atachakachua matokeo.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Katika uchaguzi mkuu hua wanahitaji kadi ya kupigia kura na utafiti unaonyesha wengi waliopigia kura CDM hawana kadi walivutiwa na sera so wewe kama mdau jitahidi kuhamasisha watz wajiunge na CDM hili kuchangia chama kwan kukiunga mkono wanakiunga kwa asilimia 95,hizo 5 ni kina Rejao,ms,ff
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Good observation.
  Anza sasa kuhamasisha wananchi katika eneo lako ili kuwabadili mashabiki kuwa wanachama.
   
 9. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani amesema enzi hizi ni za kadi? sisi kinachofanyika kama kuna shida tunachangia inatatuliwa.
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mtandao bado unaendelea ..Hivyo zitafika tuu one day
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwana kadi ni muhimu...........identity inatosha kusudi tusijenge hope hewani.
   
 12. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,827
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  Nakupongeza kwa uhamasishaji ngoja nami nikaichukue yangu
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Asante sana kwa aliyehamasika...........ninamuomba DR. Slaa, Zitto, Mnyika......walisemeee hili. Pia kuhusu magwanda vipi? Madukani tunakuta ya CCM tu huku mikoani............hamuoni kama itakuwa chanzo kizuri cha kipato kwa chama? Wanavyuo woote na wanachadema nchi nzima tutayanunua na kuyavaaaaa......yako wapi? Nani planner au funraising officer wa CHADEMA. Kama ajira haiwezekani na mtu huyo hayupo wekeni wazi watu tujitoleeeee...
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ila pia mtake-note kuwa, walioipigia CDM,na CUF kwa maeneo mengine,ni wenye kadi za CCM vilevile!
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  sawa tuwe na kadi zetu kisha..tuongeze na za ccm
   
 16. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mi nnazo zote ya cdm nilichukua 2004, ya ccm nilichukua kipindi cha kura za maoni nikapewa na laki tano .kutoka ccm na mmoja wa ugombea udiwani, nikatumia zile pesa kwa kampeni ya cdm mpaka mgombea wangu wa rohoni cdm akashinda ., magamba wakanifukuza kwenye eneo la biashara yangu ni lao nilirent 2. Bado nadunda kazi safi na sasa kampeni ni kitanda kwa kitanda. Viva cdm
   
 17. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninavyojua mimi mwanachama ndiye anatakiwa kuwa na kadi na sio mshabiki...
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Viongozi wahamasishe wapenzi kuwa wanachama na wakapige kura pia wakati wa uchaguzi.........sio kujaa majukwaani tu kwenye kampeni
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  angekuwa na kadi asingeitwa mshabiki..............akiwa na kadi ndo tunatambua kuwa tuna mwanachama.......it is the matter of priority.....and difficultiness of your brain
   
 20. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mi naona niquote heading ya thread yako tu. Kiufupi mkuu kuna tofauti kati ya Mashabiki(Fans/stakeholders) na Wanachama(Members/stakeholders).

  Kuwa shabiki maana yake unashabikia au kupendelea au wewe ni mpenzi wa kitu fulani. Ni kama vile unapoishabikia Man U au Arsenal na kujikuta ukitumia muda wako mwingi kutaka kujua nini kinachojiri ndani ya club hiyo japo hauna haki ya kuingilia maamuzi yoyote. Ni kama vile mnywaji anayendelea kinywaji fulani ambacho hutengezwa na kiwanda fulani, japo yeye si shareholder lakini hufuatilia hatma ya kiwanda ili kinywaji akipendacho kisitoweke sokoni.

  Kuwa mwanachama maana yake wewe unatambulika kisheria na kikundi hicho kwa kutumia legal documents zenye contract kati yako na kikundi na kwa vyama Kadi ya uanachama, unakuwa na haki fulani za kisheria kama kuchagua viongozi wa chama kushiriki mikutano ya chama katika level yako. Hapa ni kama unaongelea mtu mwenye hisa za kiwanda fulani ambacho products zake zinapendwa na customers wengi. Huyu kwa kuwa ana hisa basi anakuwa na haki fulani katika kiwanda kama kupiga kura katika maamuzi fulanifulani yahusuyo wellbeing of a company.

  Wanachama na Mashabiki wote kwa ujumla wao tunaweza waita kuwa ni washika dau (stakeholders)
  The shareholder possesses a part of something, while the stakeholder has an interest (in the non-financial sense of the term) in something.

  The stakeholders of an organization(political party) could be its shareholders, employees, vendors, customers, communities where it operates etc.

  Kwa hiyo si lazima uwe na Kadi (shareholder) ili kuwa stakeholder.
   
Loading...