Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama umevaa viatu vyako vya ushabiki wa chama chako vivue!! "Hivyo kinachopewa umuhimu ni utumishi kwa umma, kwa ajili ya maendeleo ya watu na si mbio za kusaka vyeo. Ni vyema hii dhana ya...
2 Reactions
96 Replies
8K Views
Kuanzia jan 15 watz wataanza kununua umeme kwa bei mpya
0 Reactions
131 Replies
10K Views
........M/kiti wa jumuiya ya vijana Taifa ya CDM John Heche amekanusha habari zilizotolewa na gazeti la UHURU kuwa CDM inahusika na migomo ya vyuo vikuu hapa Tanzania. Ameihasa serikali iache...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Published On: Fri, Jan 13th, 2012 Tanzania | Tanzania beats its East African counterparts in the well-being of citizens, according to a study by a London-based institute. The Legatum...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Huu ni mkutano wa Mbalizi...na kulikuwa na mvua kubwa sana..still watu walikaa kumsikiliza Rais wao Dr W.Slaa!! kwangu mimi trend hii ya mikutano ya Mbeya inaonyesha jinsi ambavyo CDM ni tegemeo...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Naomba mnisaidie wanajamii forum.hivi suala la raisi kuwapa ubalozi viongozi walioonekana kushindwa kazi ni fadhila ama zawadi kwao?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Published On: Fri, Jan 13th, 2012 Burundi | Published On: Fri, Jan 13th, 2012 BUJUMBURA - An exiled Burundian opposition leader has been arrested in Tanzania on the orders of the Bujumbura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa juhudi zako za kutatua matatizo yetu wana ubungo,ubungo ni sio jimbo dogo na pia lina matatizo mengi nianze na machache: Wanafunzi wa udsm wanaolala watatu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baraza Kuu la CHADEMA mkoani hapa limepangua safu ya uongozi wa juu wa mkoa kwa kuwateua viongozi wa muda watakaokiongoza chama hicho hadi Mei. Kikao hicho kizito kilifanyika karibu usiku mzima...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana jamii leo hii mkuu wa kaya ameongoza maafisa wa majeshi ya ulinzi na usalama katika kumuaga Kamishna Nkuku ambaye ametutoka hivi majuzi. Jamaa huyu alikuwa mchapa kazi kwelikweli na amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waingereza waliondosha majeshi yao kikiwemo kikosi maalumu cha Kiarishi ambacho kilikuwa kimewekwa karibu na uwanja wa gofu na mpaka wa Mji Mkongwe mapema mwaka 1963. Kipindi ilipopandishwa...
0 Reactions
59 Replies
20K Views
Mary Victoria - Raia Mwema Mwenyekiti na Mkurugenzi wa NEC uchaguzi wa 2010 Taarifa za NEC zaonyesha CHADEMA imeshinda kwa 83% TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeingia katika kashfa mpya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana JF ni wakati mwingine wa kufuatilia mjadalal wa katiba ambao kwa sasa unaendelea katika ukumbi wa chuo cha Bibllia Arusha kilichoko Ngaramtoni Arusha. Mjadala ambao unaendeshwa na Shirika la...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wasalamu wanajamvi? Nianze na kusema kwamaba nawapongeza sana uongozi wa juu wa Chadema mpaka hapa walipo fika kwa mafanikio makubwa ya kisiasa zaidi ya chama chochote cha siasa kilichowahi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida juzi katika viwanja vya stendi ya zamani mjini bunda,waziri wasira akiambatana na mbunge wa musoma vijijini ndugu Mkono kwa kile ambacho walikiita mkutano wa elimu...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni nani mpinzani wa Kweli na Nani Mzalendo wa Kweli nchini Tanzania? Wimbi la kuvurugana kwenye vyama vya upinzani bado linaendelea kuvitesa vyama hapa nchini! Kina David Kafulila kufukuzwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Bashir Nkoromo, Zanzibar Kamati Kuu ya CCM imemteua mwanachama wake, Mohammed Raza kuwa mgombea wa Uwakilishi jimbo la Uzini. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wadau hope mnaendelea vizuri hapa jamvini mimi ni mwanachama hai wa chedema lakini sina kadi ya uanachama so naombeni msaada wenu ntapataje kadi hiyo na nitaipata wapi? nawasilisha
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana jamvi,habarini za leo?Za majukumu?Si utani,leo ktk kata ya Pasiansi nimekuta mkutano wa NCCR-Mageuzi,viongozi wanahutubia.Ajenda kuu ni Kafulila kwamba ameshajinyonga mwenyewe kisiasa.Na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…