Umeme huoo umepaa kwa 40% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme huoo umepaa kwa 40%

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bajabiri, Jan 12, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuanzia jan 15 watz wataanza kununua umeme kwa bei mpya
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Halafu umepanda wakat ambao atleast unapatikana,wale wanaotumia unit 0-50,hauwagusi,wanaopinga wakate rufaa kwenye tume ya ushindani ya biashara
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  hIVI UKINUNUA unit nyingi kabla ya hiyo tarehe si itasaidia, japo kwa miezi 4 mbele!
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Tanzania yangu hii...


  Waziri muhusika atasemaje kwenye hili? Au ndio "kama huwezi kulipia umeme, washa koroboi"?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mafuta ya taa unayamudu?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,hesabu zako subir ma-xpert
   
 7. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Itasadia japo si saana. Mie mwenyewe nimenunua kama unit mianane hivi, zitavuta kama miezi mitatu hivi
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unafanyia tanesko?
  Next tym ukinunua jitaid uwe na unit 50 ,beyond that itakula kwako
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  saa izi ni kufikiria kutumia unit zisizozidi 50! cko tayari kumlipia kikwete,lowasa na rostamu kwenye ile tuzo yao ya dowans. KIKWETE "SIWAJUI DOWANS"
   
 10. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Tafadhali nisaidie katika hili ni kwa jinsi gani inakula kwako nataka ami ni nunue unit nyingi kesho.
   
 11. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tumia chini ya unit 50 ndo suluhisho, kama kamba yako ni ndefu utajaza mwenyewe
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Safi sana na wajue kila wakipandisha na tutazidi kuwaibia ngoja ni mtaft kishoka wangu aje anifanyie mambo ntaendelea kununua umm wa buku 20 kwa mwezi lakini ac jiko na mashine zote zitakuwa zinawaka 24/7!!!
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mwandishi: mheshimiwa waziri ngeleja huoni kuwa bei ya umeme iko juu sana kiasi kwamba wanachi wa vijijini na wafanyakazi wa kawaida hawataweza kumudu gharama hizo na bidhaa nyingi zinazozalishwa viwandani vitapanda bei.

  Waziri: Hilo limezingatiwa lakini gharama lazima zipande kwani gharama za uzalishaji ziko juu sana na Kama mnavyovua tanesco wana mzigo mkubwa sana wa Deni la Dowans. Wananchi ambao wataona kuwa gharama hizo ziko juu na hawawezi kuzimudu basi warudi vijijini au watumie vibatari.
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukitumia chini ya 50 ina maana ongezeko hulifikii au inakuwaje?tuelewesheni basi
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ewura na TANESCO wamepandisha umeme kwa asilimia 40 badala ya asilimia 100.

  sosi;Tbc habari saa 2.
   
 16. JS

  JS JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haiwezekani kajibu hivyo kweli?
   
 17. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm oyee
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mungu tunusuru
   
 19. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kwa hiyo EWURA watatumia formula yao kama kwenye mafuta yaani mvua zikinyesha bei itapungua kiangazi bei itapanda tena, au formula yao ni kwenye mafuta tu.................
   
 20. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #20
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Umeme ni lazima uwe chini ya Serikali? Haiwezekani kuibinafsisha Tanesco? Would that be harmful? Kwa sababu Wachina wanasema wamepata maendeleo by doing what they call ''Socialist Modernisation'',which they describe as privatizing all medium-sized industries.

  Nilisikia Zitto Kabwe alipendekeza Tanesco ibinafsishwe,hata ikibidi kutumia JWTZ kufanya hivyo. Nilisikia kwamba Zitto Kabwe anapendekeza Tanesco ibinafsishwe,but I don;t know about the veracity of that statement.
   
Loading...