Tanzania leads in East Africa on well-being

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Published On: Fri, Jan 13th, 2012
Tanzania |


Tanzania1.jpg


Tanzania
beats its East African counterparts in the well-being of citizens, according to a study by a London-based institute.

The Legatum Institute's Prosperity Index for 2011, which covered 110 countries as "an inquiry into global wealth and well-being", ranked Tanzania96th, Rwanda at 98th, Uganda 100th while Kenya was at 102nd.

Within the East African Community(EAC), Tanzania is the highest among the member countries. However, there was insufficient data on Burundi. The survey rated a number of aspects of life in several countries like the economy, entrepreneurship and opportunity, governance, education, health, safety and security, as well as personal freedom, and social capital.


Tanzania's best ranking was for social capital, where it achieved the 61st position out of 110 countries, while the worst performance was in the entrepreneurship and opportunity, where it was ranked 105th. The Legatum Institute noted that Tanzania does not encourage innovation as it fosters almost no innovative activity.

"Royalty receipts were negligible in 2008, and ICT goods comprised a mere 0.6 percent of total exports,"it notes. But despite these poor objective measures, it notes that Tanzanians were thinking that their country was a good place for entrepreneurs, placing the country in the top 20 nations on this variable.


The report says subjective assessments of entrepreneurial opportunities in the country were positive, with over three-quarters of the people believing that the area they live in is a good place to start a business. In addition, the report says majority, also thought that those who work hard will prosper.


"This high level of optimism is perhaps surprising, given that new businesses face high start-up costs of 31 percent of GNI per capita,"it notes. It notes that a relatively low proportion of Tanzanians by global standards, 82 percent believed that hard work will be rewarded.


On good governance, the country ranks 74th, adding that although Tanzanians perceive widespread corruption, they approve of their government. It notes that the government is relatively popular among its citizens with over 64 percent approving of their government.Over six in 10 Tanzanians had confidence in their judicial system, which is slightly above the global average, placing the country 43rd on this variable.


By ORTON KIISHWEKO, Tanzania Daily News


 
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.

Porojo tupu.
Hali ni mbaya sana. Umeme umepanda bei, Mafuta bei juu.
Wabunge wa DSM kimya. Badala ya kupiga kelele kwenye mambo ya msingi kama Umeme kupanda , wenyewe wanalia na magufuli kigamboni. Stu..i..p.!!!
 
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.
Bora magazeti ya udaku kuliko magazeti ya CCM. Ss wakuja huwa hatusomi haya magazeti tumewaachia nyie wa mjini. Endeleeni mjadala!
 
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.

Being a scientist siwezi nikakataa statistics za research. Lakini am also cautious because a research sample is always a very small part of the population that is meant to reflect the whole population.

Who knows where these people got their samples, the methods, objectivity etc etc.

Kwangu mimi the best research by far is the last election, na ungekuwa fair it would have provided the best data.

Kama tuna-improve kwanini kura zilipungua sana? After 5 years za Mkapa kura ziliongezeka by more than 15%, After 5 years za JK kura zilipungua by more than 15%.... Need we say more...
 
Wasoyaona hayo, macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Wanabaki na midomo mirefu kulalamika kila siku.

fact ni kwamba uchumi wa tz unamilikiwa na wahindi & foreigners. Hawa waindi wanajifanya watz just for business purpose only. Hii data si sahihi.
 
mtu anayekuibia rasilimali zako lazima akupe sifa za kijinga,..hao waliofanya hiyo research hawana tofauti na benson bana's REDET..total crap..
 
wazungu ukiwaruhusu wakuibie watakusìfìa kweli.nchi inaomba mpaka ela ya kufanyia sensa,ya tatu kwa misaada baada ya íraq na afghanistan.wakaliwe mbele hatutaki kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Kwamba "over six in 10 Tanzanians had confidence in their judicial system...." Kweli?????? Huu ukakasi umenipalia... kwa herini, sirudi tena kwenye uzi huu.
 
Dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania, wa nje wanaiona Watanzania wasiyoona wanabaki kulalama. Wageni wanaziona fursa, wanajazana hapa, si wazungu, si waarabu, si wazungu, si wahindi, si waafrika, Wamejazana.

Juzi juzi nilikuwa na Gozi langu Handeni, tukafikia pale kwa Mheshimiwa Abdallah Kigoda (Bwawani Hotel), tukakutana hapo na waEthiopia, wako kwa muda mrefu, katika mazungumzo nao wakasema "tumekuja kutajirika Tanzania" watu hapa wana mali lakini hawazioni, wamelala. Sikuwashangaa kwani wao si wa kwanza kuwasikia wakisema kama hayo. Mimi ni Mtanzania lakini nnadiriki kusema Watanzania wengi sana wamebweteka na wapo kwenye usingizi mzito sana. Na "ukimuamsha aliyelala utalala wewe". Laleni na fursa msizione.

Kwa taarifa zako Tanzania ni shamba la bibi. Wazungu na wahindi etc unaowaona wamejazana nchini kwa ajili ya kuiba mali ya nchi.
Cheki madini ya nchi yanavyoibiwa utafikiri yako kwenye nchi kama Somalia (Serkali ubwabwa).

Eti ukafikia kwa Abdalla Kigoda kwa nini hukufikia kwa mlala hoi yeyote yule usiyemjua. Wewe ni fisadi Papa.
 
fact ni kwamba uchumi wa tz unamilikiwa na wahindi & foreigners. Hawa waindi wanajifanya watz just for business purpose only. Hii data si sahihi.

Wahindi na foreigners wanakingiwa kifua sana na serikali yetu kupitia kwa mafisadi.
 
Fox fuska la kutupwa eti linashangilia kuona wazungu wamejazana hapa linafikri ndo maisha bora hayo! Serikali ya mkwer'e ni legelege!
 
Hiyo kwa Abdallah Kigoda ni Hoteli na jina nimeliweka hapo, na isikustuwe sana kwani chumba cha double ni 20,000/= tu kuna kulala hoi zaidi ya hapo? Unanchekesha! au uliposikia kwa Kigoda ukajuwa ni kama Kempinski?

Mtabaki kulalama mnaibiwa wakati wenzenu wanafanya kweli. Nyie kaeni tu, sisi tunaoziona fursa tunazitumia ipasavyo na mnaolalamika tutaendelea kuwaajiri na hamna zaidi mtaendelea kulalamika kwa kuwa ni wavivu wa kutupwa, mnangoja mpikiwe; mpakuliwe, mlishwe. Nyie kaeni mngoje handouts.

Jinga kweli wewe
 
Ever since Migiro assumed the high post at the UN Tanzania has became under continual spotlight and since then there has been a countless number of 'positive' researches and studies on it. She is playing her cards well but I am afraid she has taken very wrong and different direction. If gunning for presidency means playing upon your fellow countrymen's plight by coming up with such intentionally cooked reports then she better alter her tactics.
 
Hiyo kwa Abdallah Kigoda ni Hoteli na jina nimeliweka hapo, na isikustuwe sana kwani chumba cha double ni 20,000/= tu kuna kulala hoi zaidi ya hapo? Unanchekesha! au uliposikia kwa Kigoda ukajuwa ni kama Kempinski?

Mtabaki kulalama mnaibiwa wakati wenzenu wanafanya kweli. Nyie kaeni tu, sisi tunaoziona fursa tunazitumia ipasavyo na mnaolalamika tutaendelea kuwaajiri na hamna zaidi mtaendelea kulalamika kwa kuwa ni wavivu wa kutupwa, mnangoja mpikiwe; mpakuliwe, mlishwe. Nyie kaeni mngoje handouts.
hii post ngoja niihifadhi maana najua ni fimbo itayokucharaza wewe mwenyewe hapo baadaye...nimekapenda sana hako ka sentence ka mwisho.
 
Bado tuko chini, tunaweza kuboresha. Tukumbuke kua well being is a subjective concept, hard to apprehend...
Ila kama permanent resident wa nchi zote 5, nakubaliana na alieandika article.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom