Mikutano ya CHADEMA Mbeya inatia moyo kwa harakati za ukombozi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano ya CHADEMA Mbeya inatia moyo kwa harakati za ukombozi....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jan 13, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  DSC00021.JPG DSC00024.JPG DSC00033.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG DSC00038.JPG


  Huu ni mkutano wa Mbalizi...na kulikuwa na mvua kubwa sana..still watu walikaa kumsikiliza Rais wao Dr W.Slaa!! kwangu mimi trend hii ya mikutano ya Mbeya inaonyesha jinsi ambavyo CDM ni tegemeo la kizazi hiki na kijacho...Nadhani uimarishaji huu wa chama uendelee kwa nguvu Tanzania kote..kuanzia Taifa mpaka level ya familia...

  Thanx wana Mbeya kwa kutuunga mkono,nawahaidi hatutawaangusha kamwe!!!
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  big up! hadi kieleweke
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Duh kweli watu wana moyo
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  KARIBU RAISI WA WATU UJISIKIE UKO IKULU YA NYUMBANI!:poa:poa
  Yaani hii ndo ipo moyoni mwangu nashindwa kumpokea jk kama raisi wangu!
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​inatia hamasa
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Presidaa wa ukweli
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hii kitu hii...........nimeipenda sana hii.....yani inatoka moyoni kabisa hii!!
  Wameandika wenyewe bila tshirt wala kanga!!
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Na mvua inawanyeshea
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kipenda roho hula nyama mbichi so kizi mnayo magamba kiunoni
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakati mawaziri na wabunge wa ccm wakizomewa kwenye majimbo yao, Dr. Slaa anazidi kupata mapokezi makubwa sana kila anakokwenda.:poa:poa
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni step moja nzuri ya kujinasua kwa huyu mkoloni mweusi
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Tena watu wote ni watu wazima wenye akili zao,
  siyo wale wengine wanajazaga vitoto vya shule za msingi.
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  jamani na mvua yote ile lakini bado watu wanasikiliza,tunaitaji mabadiliko haraka sana,ccm ni wa kuchinjwa kabla ya 2015
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  watu wa mbeya mmetutia moyo sanaa,,hongereni wakuu,
  nilikuwa na mashaka kidogo hasa na watu wa mbalizi maana ndio ngome ya ccm
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  halafu wameloa ile mbaya...safi sana
   
 17. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Watu wa Dar na wa kwenye keyboard ni masharobaro hii kitu hawawezi

  Dar es salaam itakuwa ya CCM MILELE:nerd:
   
 18. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikulu ni mahali patakatifu,acheni kugeuza nyumba hii kuwa makazi ya Mafisi yale ya Ahadi,Mafisi papa.Nyumba hii iwe kimbilio la wote,kila mmoja ajisikie huru na raha kuingia.Leo kuinga ikulu kuonana na Rais mpaka ujulikane,ufahamike kwa Rais,labda alikufungulia hotel yako huko,sasa umekuja.Getini unampigia baba riz,ndio unaingia.Jamani!!! Wewe Dk.W.P.Slaa tukikupa nchi hautafanana na hawa?
   
 19. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii inaonyesha jinsi wananchi walivyo na imani na Dr SLAA kuliko jk janga la kitaifa
   
 20. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hamtaweza kuiba kura miaka yote
   
Loading...