Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Naibu spika Job Yustino Ndugai usiku huu anatarajia kutoa majibu yake kuhusu tuhuma zilizovurumishwa na Waziri mkuu mstaafu (wa ukweli) Fredrick Sumaye katika kipindi cha dakika 45 kuanzia saa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu tukiwa katika msiba mzito wa kuondokewa na mpendwa wetu Regia Mtema nimesikia tetesi kama hizo hapo juu, naomba mwenye taarifa atujuze na kama ni kweli kuna bundi gani tena katua chadema...
0 Reactions
102 Replies
10K Views
  • Closed
Money given in aid by the people of the United Kingdom to Tanzania is reparationfor colonial exploits states Tanzanian M.P. Zitto Kabwe. The "country was built by colonial exploitation...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
GTs Nimekua nje kwa muda kidogo(nimeingia mara chache sana kujua yanayojiri). Nimetamani sana kuona ni namna gani tunaweka muonekano wetu ktk kumuaga huyu dada yetu, rafiki na kipenzi chetu na...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Marehemu Regia Mtema anatarajiwa kuzikwa Jumatano tarehe 18/01/2012 huko Ifakara nukuu kutoka John Myika. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na tetesi kuwa wakatisha ushuru katika masoko ya jiji la Mbeya wamekuwa wakichakachua makusanyo ya ushuru katika masoko kwa kuwa na vitabu vya sitakabadhi zidi ya kimoja, Matokeo yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba 2. Graduates msio na kazi ... kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza 3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK 4. Acheni wivu wa kike –...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
baada ya misa itakayofanyika leo katika kanisa la segerea jijini hapa kesho mpendwa wetu ataagwa katika ukumbi wa karimu Jee kiserikali na baadaye Regia atasafirishwa kuelekea nyumbani kwao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MOD NAOMBA THREAD HII UACHE HAPA KWASABABU MBALI NA KUBEBA MASULA YA MADAKTARI INAMGUSO MKUBWA WA KISIASA NA PIA HAPA NDIPO ITAPATA WASOMAJI WENGI AMBAO NDIYO WAATHIRIKA WAKUBWA WA MGOGORO HUU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kada wa ccm mussa Tesha aliyemwagiwa tindikali na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chadema akiwa na Mweka hazina wa ccm Mwigulu Nchemba. Zaidi michuzi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear all, wakati bado tukiendelea kumtafakari mtanzania mzalendo Dada Regia Mtema aliyefariki juzi kwa ajali ya gari, Chadema mkoa wa Dodoma imeonelea ni vema ikatuma ujumbe na salamu za rambi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari kutoka Morogoro zinaeleza kuwa "Watu mbalimbali wamefika ofisi za Chadema wilaya ya Morogoro mjini kutoa pole kutokana na msiba wa Mh. Regia Mtema, baadhi ya wakazi wa Morogoro walikuwa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
This is result of mind control ambayo imefanjwa during single part. 1. Vijiji vya ujamaa ilikuwa njia ya kwanza ya mind control, mtu hakuruhusiwa kumiliki mali, kutangaziwa uzuri na umuhimu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni siku ya leo majira ya saa 5 asubuhi katika maeneo ya Uzunguni aishipo Mhe Jaji wa Mahakama Kuu na vile vile ndiye Jaji Mfawidhi Mkoani Arusha, palikuwa nanmtu akikata mti bila tahadhari yeyote...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimesoma hapa jamvini kuwa katibu mpya wa wilaya ya mbeya CCM ni Raymond Mwangwale. Nimecheka sana, huyu bwana amesoma sm Azimio na tumesoma pamoja MBEYA DAY 1995-1998. hana kitu na kama CCM...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Salam ndugu zangu JF Kwanza napenda nitumie fursa hii kumpongeza kwa dhati kabisa dada yetu Regia Mtema kwa kushiriki na kupambana hadi dakika ya mwisho kugombea ubunge katika jimbo la Kilombero...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kuwasili uwanjani kwenye sherehe za muungano aman stadium zanzibar Rais wa muungano ameingia uwanjani kabla ya Rais wa Zanzibar. Kwa maana hii Rais wa muungano anatangulia uwanjani ili awe...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Kutakuwa na Ibada ya kumuombea na kumuaga marehemu Mhe Regia Mtema katika kanisa la RC Segerea saa tisa mchana siku ya kesho J3. J4 kuanzia saa nne asubuhi mwili wa marehemu utakuwa Katika...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
CDM ina sintofahamu zifuatazo: Katiba mpya, NEC, TISS, Zanzibar
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Written by amini Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imependekeza sheria kali ya kupambana na vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi na watendaji wenye tabia ya kuomba ngono kabla ya kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…