ITV usiku huu: Job Ndugai ndani ya nyumba

Status
Not open for further replies.

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Naibu spika Job Yustino Ndugai usiku huu anatarajia kutoa majibu yake kuhusu tuhuma zilizovurumishwa na Waziri mkuu mstaafu (wa ukweli) Fredrick Sumaye katika kipindi cha dakika 45 kuanzia saa tatu usiku huu. Tutarajie mengi kutoka kwake
 
uraisi wa 2015, ni balaa kwelikweli,
CCM ndio inajichimbia kaburi kila kukicha
 
[h=2]Re: ITV usiku huu: Job Ndugai Kumjibu Sumaye[/h]Kwahiyo mkuu hiyo ndio mada ya leo iliyotangazwa na ITV?
 
anasema hawawabani wabunge bali watu hawafahamu kanuni na hawajawahi kuzidiwa
 
Zimebaki dakika tano Kipindi kimalizike sasa mbona hayo majibu ya Sumaye hatuyaoni?
 
Malipoa Mazuri ni kama anatetea Posho zao,Ngoja tuone,maana anapinga hata viongozi wa dini,eti tunalaumiana tuu,Huyu alitakiwa kubebea Kopo awe Ombaomba
 
Anakimbia kujibu kuhusu posho, huyu jamaa sijui vipi? Eeeti ushauri tutoe upi sasa!
 
Naibu spika Job Yustino Ndugai usiku huu anatarajia kutoa majibu yake kuhusu tuhuma zilizovurumishwa na Waziri mkuu mstaafu (wa ukweli) Fredrick Sumaye katika kipindi cha dakika 45 kuanzia saa tatu usiku huu. Tutarajie mengi kutoka kwake

tayari Sumaye katajwa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom