Nafasi ya wana JF katika kumuaga Regia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya wana JF katika kumuaga Regia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yetu Macho, Jan 16, 2012.

 1. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  GTs
  Nimekua nje kwa muda kidogo(nimeingia mara chache sana kujua yanayojiri). Nimetamani sana kuona ni namna gani tunaweka muonekano wetu ktk kumuaga huyu dada yetu, rafiki na kipenzi chetu na great thinker mwenzetu Regia.

  Mimi nitakuwepo. Naamini na wengine wengi ambao tupo humu. Tunafanyaje kuonyesha uma kwamba tunathubutu kuongea kwa uwazi hatujifichi na tunamuenzi mwenzetu?. Tunafanyaje kwaajili ya mwenzetu na kuwaonyesha wapambanaji wengine kwamba tuko pamoja nao?.. Tunafanyaje kuhakikisha yale aliyoyaamini, kuyahubiri na kuyaushi Regia hayafutiki na yanapata chata ya daima?

  Kuna kikapu cha j4? Kuna commitment yoyote kwa wana JF hata mmoja mmoja kusupport K4C iendelee ili kuweka ndoto za regia hai? Kuna namna tunaweza waamsha watz na wengine wote kuhakikisha wale vijana alotuambia anawasomesha wanaendelea kusoma na kuhitimu masomo yao?

  Ningetamani kama kesho tungeweza kuonekana.. Ama kwa ribon, kikapu flana au chochote ila.... Naomba mnijuze kama kuna mpango wowote nami naahidi kuuunga mkono asilimia mia
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ungesoma kwanza threads zilizoanzishwa kabla ya kuuliza.
  Kwa kifupi kuna kapu linazunguuka (see Maxence), kuna t-shirt wana print na zitamnukuu marhem.
   
Loading...