Mgombea nafasi ya Uwakilishi kwa tiketi ya Chadema katika jimbo la Uzini Zanzibar anatarajia kurudisha fomu yake ya kuomba kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ili awe Mgombea wa Chadema katika...
Na Salum Maftah - Imechapwa 18 January 2012
KATIKA mdahalo wa wiki jana kwenye kituo cha ITV uliowakutanisha viongozi vijana watatu kutoka vyama vitatu vikuu vya siasa, tumejifunza mengi; na...
Yafuatayo ni majibu ambayo IKULU imeyatoa dhidi ya gazeti la Tanzania Daima kuhusu utata wa ndege ya Rais 5H-One ambayo iko katika matengenezo nchini Marekani. Nimeona niwaletee habari hii kwa...
Jenerali Ulimwengu
Marehemu Jeremiah Solomon Sumari
KATIKA mambo mazito yaliyonielemea siku hizi chache ni kwamba nilishindwa kumuaga marehemu Jeremiah Solomon Sumari, Mbunge wa...
Heko wana JF, na wanachi kwa ujumla! Wakati mwingine hata kelele zinasaidia!
Toka tulalamikie posho za wabunge, naona nao wameanza kufanya kazi yao kupiotia kamati zao! kushikia bango ma-posho...
Zaidi ya wanachama 1000 wa chama cha wananchi CUF wa jijini Mwanza wamejivua uanachama wao Leo wakiweka wazi kumuunga MKONO Mbunge wa WAWI Mhe. Hamad Rashid na pia kuonyesha ni namna gani...
Tumekua tukishuhudia kila kukicha katika vyombo vya habari minyukano na kupigana vikumbo ndani ya chama tawala CCM kuhusiana na mbio za uraisi 2015.Shughuli zote za kutatua kero za wananchi...
Lula wa Ndali Mwananzela (RAIA MWEMA)
Msiposimama pamoja, mtaangamia mmoja mmoja
TUKIO la hivi karibuni la Serikali kuamua kuwafukuza madaktari wanafunzi waliokuwa wanadai mafao yao...
Wana JF,
Napenda kutoa shukrani kwa wote ambao wapo jikoni na watoa, wachangia, wapitia mada/topic kwa kazi nzuri,
nimekaa sana na kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tupo zaidi ya Million 40, hivi...
Nimekuwa nikifiri mara kadhaa juu ya namna mikoa yetu ilivobarikiwa kwa namna ya kipekee kiasi kwamba sifa ya mkoa mmoja kwa maana ya mali asili haufanani na mkoa mwingine.mfano sumbawanga kilimo...
Siamini Kinachotokea kwa upande wangu....nimekuwa CCM Kwa muda kidogo.Kuanzia wakati wa kampen 2010 nikaichukia CCM kabisa kabisa hali iliyopelekea kura yangu ya URAIS Nimpe DR SLAA Hali ya kuwa...
Imeandikwa na Kennedy Kisula, Lindi; Tarehe: 30th November 2011 Daily News
MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) a m e s e m a anatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010/15 kwa...
Ndugu zangu sijui ni wangapi mnafatilia yanayojiri toka Davos kwa World Economic Forum (WEF)? au tukishaambiwa na watu wa ikulu kuwa JK kaondoka basi .hatuoji tena nini anafanya huko alikokwenda...
Absalom Kibanda
NIMELAZIMIKA na kulazimishwa kuendelea na mada niliyoiandika wiki mbili zilizopita si kwa sababu nyingine yoyote bali kutokana na makala iliyojaa vimelea vya chuki, uongo...
Kwako baba wa kaya,
Salaam nyingi zikufikie,sisi wajukuu zako tu wazima tunapumua japokuwa hatuna uhakika wa siku moja katika mchakato wetu wa kutafuta riziki.Tunakukumbuka kwa mengi,kiasi cha...
JF imegukuwa ni chombo cha kutoa elimu katika masuala mbalimbali:
Mm wana jf sijui na sielewi ni kwann mwai kibaki ambae ndie kiini cha mgogoro wa kenya kwa kitendo chake cha kukataa matokeo...
Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu amesema ombi la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Umoja wa Mataifa kuomba nyongeza ya mpaka katika Bahari ya Hindi ni...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa Steven Galinoma ameaga dunia, marehemu alikuwa akisumbuliwa na kisukari.
Source: Mjomba wa marehe ambaye tuko ofisi moja