Siamini Kinachotokea kwa upande wangu....nimekuwa CCM Kwa muda kidogo.Kuanzia wakati wa kampen 2010 nikaichukia CCM kabisa kabisa hali iliyopelekea kura yangu ya URAIS Nimpe DR SLAA Hali ya kuwa nilijua hatopata URAIS Kwa wakati ule KUTOKANA NA MFUMO MBOVU Wa MAGAMBA.KILICHONIUDHI ZAID NI KUONA KILA MTU MWENYE JUKUMU LA KUTUMIKIA NCHI HATHAMINI WANANCHI....SASA NAULIZA .... JE,ILI KUWA MWANACHADEMA NAHITAJIKA NIANDAE VITU GANI IKIWEMO NA GHARAMA?NILIPO NI KIJIJINI NA HAKUNA OFISI YOYOTE YA CHADEMA.KWA KUWA NIMEGUSWA NAHITAJI KUELEKEZWA UTARATIBU ILI NIANDAE SAFAR YANGU YA KWENDA MKOANI ILI NIKAPATE KADI YA UANACHAMA....ASANTENI