Mawazo ya Watanzania Million 40 na zaidi, Hayawezi kututoa kwenye UMASIKINI Huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo ya Watanzania Million 40 na zaidi, Hayawezi kututoa kwenye UMASIKINI Huu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kikarara78, Jan 27, 2012.

 1. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Wana JF,
  Napenda kutoa shukrani kwa wote ambao wapo jikoni na watoa, wachangia, wapitia mada/topic kwa kazi nzuri,
  nimekaa sana na kujiuliza hivi ni kweli Watanzania tupo zaidi ya Million 40, hivi kwa kweli hatuwezi kuwa na maoni, ushauri, mawazo ambayo yatatutoa kwenye Umasikini huu ??? Tuna wasomi, wafanyabishara, wakulima, wavuvi, wafanyakazi wengi kuliko miaka ya nyuma, tuna rasilimali nyingi za kutosha na ardhi kubwa yenye rutuba, tuna wanyama wengi kwenye mbuga zetu za wanyama, tuna madini mengi ya kutosha kuondokana na huu umasikini, ujinga. Tatizo letu ni nini Watanzania ???
  My take: Tuamke na tuipende Nchi yetu, tuchangie bila kuegemea upande wowote
  Nawasilisha
   
Loading...