Steven Galinoma (aliyewahi kuwa Mbunge) afariki dunia

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
182
Aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa Steven Galinoma ameaga dunia, marehemu alikuwa akisumbuliwa na kisukari.

Source: Mjomba wa marehe ambaye tuko ofisi moja
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Pole wafiwa na ndugu wa marehem Galinoma! Huu ni msiba wa taifa, bila Shaka tutamuaga Karimjee AMA Diamond
 
RIP mheshimiwa Mbunge wa zamani!

Galinoma.jpg
 
Namkumbuka sana, alikua mbunge wa jimbo la Kalenga ambalo lipo Iringa vijijini mpaka 2010 baada ya kudondoshwa na Dr. William Mgimwa kwenye kura za maoni mwaka 2010!!
RIP Mzee Galinoma
 
R.I.P Mzee Galinoma, nakumbuka mwaka 2005 nikiwa Tosamaganga ulikuja kupiga campaign pale shuleni
 
Huyu marehemu aliwahi pia kuwa katibu mkuu wa wizara ya ulinzi kabla ya kuingia siasa!! R.I.P.
 
poleni wafiwa, huyu pia si alikuwa mbunge 95-00? si ndio baba wa yule muimba regae? sikumbuki kama niliwahi kumuona but miaka hiyo nikiwa TOSAMAGANGA alikuwa mbunge... poleni wakazi wa kalenga
 
poleni wafiwa, huyu pia si alikuwa mbunge 95-00? si ndio baba wa yule muimba regae? sikumbuki kama niliwahi kumuona but miaka hiyo nikiwa TOSAMAGANGA alikuwa mbunge... poleni wakazi wa kalenga
 
Back
Top Bottom