TPDC napo pamulikwe!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TPDC napo pamulikwe!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMC, Jan 27, 2012.

 1. M

  MAMC Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heko wana JF, na wanachi kwa ujumla! Wakati mwingine hata kelele zinasaidia!

  Toka tulalamikie posho za wabunge, naona nao wameanza kufanya kazi yao kupiotia kamati zao! kushikia bango ma-posho, etc ya taasisi za serikali.

  Sasa naona wameibukia TPDC!

  Na hii TPDC ina dhamana kubwa sana, ya rasilimali zetu, nadhani baada ya TANESCO, TPDC ndo taasisi muhimu inafuatia hapa wizarani, lakini naona pako kimya saana, hatujui wanafanya nini, Yona Kilagane amekaa pale saana, issues kibao zinawapita kwapani! mfano sheria na mwongozo wa gesi asilia haupo, meri zinatafuta mafuta miaka nenda rudi kweli??

  Kwa nini mkurugenzi wa TPDC naye asiwe kama wa TANESCO?? awe appointed kila miaka mitano! to avoid people with entrenched mind!

  Wizaro moja lakini kila taasisi na service terms zake!!
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi kamati gani nyingine zimelalamikia posho zaidi ya Kamati inayoongozwa na Zitto? Msimamo wa Zitto katika posho unajulikana ndio maana anapigia kelele posho lakini Kamati nyingine kimyaa juu ya masuala ya posho!
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na MAMC kwamba TPDC haiko active enough, wakati wanashikilia sector nyeti sana.Hawana manning ya kutosha kusimamia projects zinazoendelea...mwisho wa siku wanaanza kulia kuibiwa! Wanama-desk engineers tu, hakuna mtu mwenye field exposure, exploration and production project hazina watu qualified wa ku-oversee kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi.

  wake up TPDC, tutaliwa kwenye sector ya mafuta na gesi kama tulivyoliwa kwenye madini.
   
Loading...