Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda kuwaomba na kuwakaribisha madaktari,kuleta hoja zao hapa JF Kama njia mojawapo ya kuendelea na mijadala yenye kushikiza haki kupatikana dhidi yao na kwa maslahi ya taifa letu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.......Kwa namna anavyosimamai suala hili la madaktari,na uthubutu wake dhidi ya uharamia wa serikali yetu,nashauri huyu jamaa tukisha badili katiba yetu na kuwa na mgombea binafsi,naomba tumpe...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya maalim seif na mhe hamad rashid kwamba hamad hawezi kwenda wawi kwa kuwa hakubaliki, hamad ameamua kuvunja ukimya na kwenda wawi. japo kuna watu wanasema...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm! Source:jambo leo! Swali langu: je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini. kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
  • Closed
Katika uchaguzi uliopita mwaka 2010,ccm walieneza propaganda mbaya sana kwa waislam juu ya chadema,wakidai chadema ni chama cha wakristo!!propaganda hiyo japo chadema walionekana kuipuuza lakini...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
pinda huwezi kutudharau madaktari kwa taarifa yako tuna uwezo wa kuondoka au kusoma vitu vingine poatgraduate. Kwa hiyo watch out hii vita utachemsha kwa sababu kutibu huwezi na umekurupuka.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friday, January 27, 2012KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI Mgomo wa madaktari unaoendelea hivi sasa umedhihirisha kwamba tuna serikali dhaifu yenye ombwe la uongozi. Haiwezekani wananchi wakawa wanakufa...
13 Reactions
62 Replies
7K Views
Ndugu zangu madaktari poleni kwa pilika ila niseme tu kazi ndio inaanza.........hawa serikali wameamua kuja kwa mtindo wao wa siku zote wa divide and rule na hapa ndipo migomo mingi yenye madai ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wengi bado tuna kumbukumbu nzuri ya kilichotokea katika mchakato wa kuwapata wawakilishi wa viti maalum vya kina mama na vijana ndani ya CHADEMA wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, ilikua aibu...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana na mazingira mabovu pia...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda kesho (Jumapili, Januari 29, 2012) atakutana na madaktari waliofanya mgomo kwenye ukumbi wa Karimjee kuanzia saa 4:00 asubuhi. Madaktari hao kwa nyakati tofauti...
4 Reactions
165 Replies
12K Views
Ban Ki-moon said "confronting discrimination is a challenge" United Nations Secretary General Ban Ki-moon has urged African leaders to respect gay rights. Discrimination based on sexual...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
BY FLORIAN KAIJAGE 29th January 2012 Admitting being duped, Simon Group reveals how it won the deal over the counter Robert Kisena, the Executive Chairman of Simon Group At a time...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jf kuna SMS imekuja Kwangu Bahati Mbaya wana Magamba walikua wanapeana Taarifa SMS ikaja kwangu kwa bahati Mbaya Wakati kuna mgomo Wa madakatari Hali ya Uchumi mbaya vigogo Wa Ccm...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara. Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja. Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo. Jana watu wa mikoa...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Utawala wa kifalme wa ufaransa uliangushwa na wadai haki ya huduma, Jana nikimuangalia Pinda nikakumbuka history ya ufaransa. Kauli za kucheka cheka za pinda Jana zilinishangaza sana, je wasomi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipokea hivi punde ni kuwa viongozi kadhaa wa Chadema wanaingia mjini Morogoro muda huu kufanya mkutano Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaliko wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Leo asubuhi nilipita karibu na kanisa lilipo karibu kabisa na bandari ya Dar. Askofu ambae akiongoza misa hiyo aliwashtumu sana madaktari wale wanagoma, alisema si vyema kugoma huku wananchi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu Madaktari wote na wale wenye mapenzi mema, Nimepata habari za kusikitisha kwamba PM amekwanda kukutana nanyi bila mawasiliano ya karibu na viongozi wenu na kukuta hamko ukumbini. Kama...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…