Ufunguzi wa Kampeni Jimbo la Uzini.chadema yaanza kukosa Mvuto

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo
Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo watapitia katika mitaa mbali mbali kuwahamasisha wananchi.
watatembelea vijiji vya Kinu Moshi ambapo kabila la wariguru na wanyamwezi wanapatikana kwa wingi sana.

lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa
 
lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa
asante gamba kwa taarifa.
 
Walaumuni CUF ndo wameharibu upinzani maana waliwachosha watu halafu walipopewa kile roho inapenda wamewasaliti wananchi. Zanzibar kuna watu wanaotaka mabadiliko lakini kitakachowaponza ni udini wenu maana mnataka Kiongozi lazima awe wa dini yenu ndo awe mzuri. Mtaachwa muendelee kuongozana vipofu kwa vipofu na mtakuwa mnaishia kama pale CUF ilipoishia magamba watawatawala milele. Mnabahati tu kwamba huko zenj magamba hayaoni dili ndo maana mpompo tu.
Badilikeni katika fikra zenu chadema ni chama makini na hakinaunafiki na ubabaishaji Kama magamba. Mtachagua magamba halafu baadaye ndo mnaanza kupinga sera za magamba eti mnataka haki. Ukichagua gamba sahau mambo ya haki.
 
Asante kwa Taarifa mkuu. Hii ni changamoto kwenu wana CDM, siyo mnaanza kuporomosha mitusi!
 
Kuna tetesi kwamba Leo Mh Mbowe na Dk Slaa watashiriki ibada ya j2 katika kanisa la Machui liliopo Jimbo la Uzini.
kwa mara ya kwanza tunaweza kumuona dk Slaa akiwa kwenye sherehe za Ibada. Kwani vyombo vya habari vingi vitaelekea ktk misa hiyo
Lkn pia kabla ya kuwasili katika Jimbo hilo watapitia katika mitaa mbali mbali kuwahamasisha wananchi.
watatembelea vijiji vya Kinu Moshi ambapo kabila la wariguru na wanyamwezi wanapatikana kwa wingi sana.

lkn kwa ujumla Vijiji vingi vya Jimbo hilo wanamsubiri Raza kwa kasi. hata Cuf nao wanashiriki tu.
Mjini Mbowe hata hazungumzwi kabisa

Wameshaanza siku yao vibaya!! Wanaenda Kanisanii ndio waje wafungue kampeni??
 
wakati huu magamba wanatamani ardhi ipasuke wajifiche humo lakini haitapasuka na wataonja joto la mabadiliko laivu kuda.........ki.
 
This message has been deleted by Buchanan
Reason: Point muhimu na nzuri kama hii haiwezi kuchangia huu ukenge!
 
Hilo jimbo hata kama vyama vyengine havitoshiriki huo uchaguzi, CHADEMA wanaweza kulichukua jimbo lakini kwa ushindi usiozidi wa kura 250!
 
Hata huku bara baadhi ya mikoa chadema ilikuwa haina mvuto hivyohivyo sasa we endelea kujidanganya hivyohivyo2! kila la kheri cdm
 
This message has been deleted by Buchanan
Reason: Point muhimu na nzuri kama hii haiwezi kuchangia huu ukenge!

Mkuu unahofu gani kwani! Vile zikiwekwa thread za kumkashifu mkuu wa nchi unaona raha sana lakini hapa unatetemeka! Wacha watu waanike ukweli.
 
Back
Top Bottom