Viongozi wa CHADEMA - Heche, Mnyika na Silinde ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Taarifa nilizozipokea hivi punde ni kuwa viongozi kadhaa wa Chadema wanaingia mjini Morogoro muda huu kufanya mkutano Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaliko wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya wanaChadema tawi la Chuo Kikuu Mzumbe.

Msafara huo unawajumuisha Makamanda John Heche(M/kiti Bavicha), John Mnyika(Mbunge Ubungo) na David Silinde(Mbunge Mbozi Magharibi).

Agenda za mkutano ni pamoja na matatizo ya wanafunzi wa elimu ya juu,Mgomo wa madaktari, katiba mpya, mfumko wa bei, pamoja na mengine mengi.

Kwa wale mliopo morogoro mnakaribishwa chuo kikuu mzumbe kusikiliza ujumbe toka kwa makamanda.
 
Asante kwa taarifa kiongozi hii inaitwa twanga kotekote,huko Uzini Zanzibar moto umeshawashwa pia kamanda wa anga mbowe,slaa ndani ya nyumba.Wanaobeza wabeze tu lakini one day yes na tuwasamehe bure
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.
 
Huu moto ni tofauti mkuu chadema sio vibaraka
 
  • Thanks
Reactions: FJM
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

unamanisha nini
 
Nakumbuka katika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Regia Mtema viwanja vya Karimjee Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akitoa salamu za Chama alisema "Viongozi wazuri hawazuki bali huandaliwa" akaendelea kusema kuwa "tunapokwenda katika vyuo kuhamasisha wanafunzi si kuchochea migomo bali kuwaandaa vijana kwa falsafa yetu ya Leadership development"

Sasa huu ndio mwendelezo wa maneno ya mkuu wa Magwanda? Lakini pia hadi leo huwa najiuliza Je yeye (Mbowe), na DR.SLAA, Mpendazoe, Shibuda na wengine waliandaliwa na nani? Nendeni vijijini mkafungue matawi kwa wingi na mtawanyike nchi nzima kuliko kukomaa kanda ya kaskazini na vyuoni.... hao watoto mnaowashawishi ni sehemu ndogo ya wapiga kura.
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

Chadema ni kitu kingine, huwezi kuifananisha na nccr mageuzi ama cuf!

Mawimbi yaliyoiangusha nccr na yale yaliyoimeza cuf hayawezi kuiteteresha chadema, tumeshakumbana na misukosuko mingi lakini mara zote tumeweza kuvuka salama!

Nakushauri utulie uone siasa ya ukweli inavyofanywa na chadema.
 
Hongereni sana makamanda! Lakini naendelea kuwakumbusha kuwa hiyo mikutano,seminars,warsha,makongamano etc pia yawe yanafanyika Tanga, Lindi, Mtwara, Dodoma,Zanzibar and the like!
 
Asante kwa taarifa kiongozi hii inaitwa twanga kotekote,huko Uzini Zanzibar moto umeshawashwa pia kamanda wa anga mbowe,slaa ndani ya nyumba.Wanaobeza wabeze tu lakini one day yes na tuwasamehe bure

Yap yap, moto wa chadema unazidi kuwaka.
Nimekutana na gari ya matangazo hapa mwenge, wanatangaza kuna mkutano mwingine kwa Ali maua.

Watakaopanda jukwaani ni makamanda Godbless Lema na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu pamoja na wengine!
 
Hongereni sana makamanda! Lakini naendelea kuwakumbusha kuwa hiyo mikutano,seminars,warsha,makongamano etc pia yawe yanafanyika Tanga, Lindi, Mtwara, Dodoma,Zanzibar and the like!
haya maeneo mkuu hawdhubutu kukanyaga hata zanzibar wameenda tu ili nao waonekane wanaunga mkono muungano
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

Umesamehewa bure mkuu!na aliyekuambia Mrema na NCCR na huyo Maalim Seif wa CUF walikuwa wapinzani ni nani?Nafikiri mpaka sasa imeshadhihirika wazi hawa watu walikuwa wanatafuta nini,huwezi linganisha na CDM huu ni mtiti mwingine na ndiyo maana ccm hawalali
 
Chadema ni kitu kingine, huwezi kuifananisha na nccr mageuzi ama cuf!

Mawimbi yaliyoiangusha nccr na yale yaliyoimeza cuf hayawezi kuiteteresha chadema, tumeshakumbana na misukosuko mingi lakini mara zote tumeweza kuvuka salama!

Nakushauri utulie uone siasa ya ukweli inavyofanywa na chadema.

Mbona mmeshaanza mazungumzo ya kimya kimya? nina uhakika ipo siku bwana Mwita Maranya utakubali ninachokwambia. Lakini pia kubali kwamba mawimbi hayo yalishindwa kuuangusha mtumbwi wa Magamba.
 
Yap yap, moto wa chadema unazidi kuwaka.
Nimekutana na gari ya matangazo hapa mwenge, wanatangaza kuna mkutano mwingine kwa Ali maua.

Watakaopanda jukwaani ni makamanda Godbless Lema na Joseph Mbilinyi
a.k.a Sugu pamoja na wengine!

PeopleeeeEeeeeeeeeeeeeEeeeeeeeeeeees
 
Mbona mmeshaanza mazungumzo ya kimya kimya? nina uhakika ipo siku bwana Mwita Maranya utakubali ninachokwambia. Lakini pia kubali kwamba mawimbi hayo yalishindwa kuuangusha mtumbwi wa Magamba.
Kenge hata akikatwa mkia bado kenge tu!!

Siasa unazijua wewe? ulitaka wafanye unavyotaka wewe, wasifanye chochote au? what the f are you insinuating here!!!
 
Hongereni sana makamanda! Lakini naendelea kuwakumbusha kuwa hiyo mikutano,seminars,warsha,makongamano etc pia yawe yanafanyika Tanga, Lindi, Mtwara, Dodoma,Zanzibar and the like!

Hawana jeuri hiyo. Wao ni kaskazini tu.... wanashindwa kujua kuwa nchi yetu haina mfumo wa vyama vya kisianza vya majimbo bali vinatakiwa kuwa vya kitaifa.
 
Mbona mmeshaanza mazungumzo ya kimya kimya? nina uhakika ipo siku bwana Mwita Maranya utakubali ninachokwambia. Lakini pia kubali kwamba mawimbi hayo yalishindwa kuuangusha mtumbwi wa Magamba.

Hiyo ndio siasa ya kweli ya chadema ninayokuambia.
Mahali pa kutumia nguvu tunatumia, mahali pa dialogue tunafanya hivyo. Kwahiyo tunaisoma vizuri hali ya siasa na kuitafsiri kiusahihi!
 
Back
Top Bottom