Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam?????

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIM KARDASH, Nov 10, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Katika uchaguzi uliopita mwaka 2010,ccm walieneza propaganda mbaya sana kwa waislam juu ya chadema,wakidai chadema ni chama cha wakristo!!propaganda hiyo japo chadema walionekana kuipuuza lakini ilikua imewaingia vibaya sana waislam kutokana na jinsi ilivyoandaliwa "kisayansi" na makada wa ccm kwa msaada wa usalama wa taifa,waislam wengi wakaichukia chadema hawkutaka hata kusikiliza sera zake wakawa wameenda moja kwa moja kwa conclusion kwamba cdm ni cha "kanisa" wakasahau kwamba walikuwa ni hao hao ccm miaka michache iliyopita walipoiona cuf ina nguvu walipita kila mtaa na kuoneza propaganda kwa wakristo kwamba cuf ni chama cha waislam(haikua kweli)!!!

  Swali langu kwa chadema baada ya uchaguzi wa 2010 kuisha wamefanya jitihada gani mpaka sasa kujivua hilo "gamba" ukristo walilovalishwa kwa hila na ccm ili wapoteze umaarufu kwa waislam??kiufupi propaganda hiyo ndio umekuwa mtaji wa ccm kila uchaguzi unapokaribia toka ,mfumo wa vyama vingi uanze,wamekua wakitumia ujanja huu wa kuhakikisha waislam na wakristo kwa umoja wao hawaungani na kuwa kitu kimoja nje ya ccm!!wanajua wakiiruhusu hiyo wanaondoka madarakani,lakini bahati mbaya sana viongozi wa upinzani hapa nawalenga cdm kwa kuwa ndio wako juukwa sasa bado wamelala usingizi kuhusu hili,wanaona kama ni kitu kidogo!kiufupi bandugu ili uingie ikulu unahitaji kura za waislam na wakristo kwa pamoja,hao ndio majority na ccm wanashindia hapo amkeni chadema,tafuteni strategy ya kuzipata kura za waislam,ni muhimu!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap! CDM needs Tanzanian votes
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka njia ya mwongo ni fupi,
   
 4. O

  ONEDAYIKOSIKU Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata wao wameshituka tayari wamo
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  CHADEMA WANAHITAJI KURA ZA WATANZANIA. Hadi hii leo hawaja jitambulisha kuwa wanastahili bali ni maarufu kuanzisha vurugu. Waanze kujiandaa kutoa hoja zitkazo wavutia watanzania ili wawape kura mwaka 2015. Sio kwa kupingana na CCM ambao wako mstari wa mbele kuwatambulisha kuwa Chadema ni wafanya fujo. Wasiwape Serikali sababu za kuwabomoa. Walifanikiwa kumfanyia Mrema na sasa wanawafanyia CHADEMA.

  Truth is what stands the test of experience.
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kama mpaka wakati huo Waislamu watakuwa hawajang'amua kwamba wanatumika kama condomu.
  nitatoa kauli nzito sana juu yao.
   
 7. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Hili la chadema halipingiki ni chama chenye mlengo wa udini tena waziwazi,kama haitachukua hatua hawatafika kokote,nikajaribu kufanya kautafiti kadogo kwa wakristo kila ninayemuuliza chama gani chadema,ukifuatilia kwa undani unakuta hawa watu wameandaliwa makanisani. siku zote wakristo hawapendi kuongozwa na waislam huu ndio ukweli ,watajihidi kuhamasishana ili nchi iongozwe na wao kana kwamba wana hati miliki na nchi.sasa hivi waislam nao wameshituka,mwendo ni uleule hata mkisema wanatumiwa na ccm propaganda yenu wameshaishitukia wala hawadanganyiki vinginevyo chadema wajirekebishe.mnafikiri mtashinda kwa nguvu za kanisa peke yake?tz ni nchi salama hakuna bengazi, rukenirukeni tu kwa kujifurahisha,nani atakayeongoza hiyo bengazi huyo padiri wenu anayejificha kwy maspika,au huyo msaliti wenu mboe?! eti mnamsakizia lema ajipeleke gerezani baada ya kukosa sababu ili mlete vita,hatuwashangai hata rwanda chokochoko zililetwa na maaskofu.vurugu zenu zinaniboa sana.ok anzani kuleta vurugu na mtafute kabisa kwa kukimbilia.wenye uchungu na nchi watailinda.kama waliweza kupigania uhuru watashindwaje kuilinda,ebo!
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kinaniudhi kama udini.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,547
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  Hata CHADEMA wakijiandaa vipi kama hakuna katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi Magamba watatumia vyombo vya dola na kile kitengo kingine cha Magamba kinachoitwa Tume ya Uchaguzi kuchakachua tena uchaguzi kama walivyofanya katika uchaguzi wa 2010 na hivyo kujihakikishia kurudi tena madarakani kwa ushindi wa kiini macho wenyewe magamba huuita "ushindi wa Tsunami."
   
 10. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo yenu ya udini hatutaki kabisa,tunataka kujenga utaifa wa Taifa letu na uzalendo wa kweli,udini pelekeni kwa CCM waliotudanganya waislam kuwa watatupa mahakama ya kadhi.
   
 11. N

  Ngwena Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana Wakristo pia walitumika kama kondomu ndio maana hawakuiunga mkono CUF?
   
 12. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sio kichwa mbovu, ni kichwa maji. Sasa ulitaka CHADEMA ifukuze wananchama wake Wakristo ili ikufurahishe wewe? Kuna Muislamu alijiunga na CHADEMA akafukuzwa? Una ushahidi kuwa watu wanaandaliwa makanisani au ndio ulivyoelezwa na hao wenye kuendesha propaganda? Kama ulishindwa kujifunza kwa CUF basi wewe ndio what the Ibo (Nigerian tribe) call excrement of the clan. Chuki zako dhidi ya wakristo zimekufanya huoni facts badala yake unaongozwa na vinyongo.

  Inferiority Complexion, nothing more!
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wengine humu unaweza ukawakatakata kama tikiti maji...coz hawana tofauti na tikiti maji hata kidogo.
   
 14. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli kichwa mbovu! Mwaka 2005 JK alishinda uchaguzi kwa 80% na Maaskofu walikuwa wa kwanza kumpigia debe hata kufikia kumwita Chaguo la Mungu! Leo hii wewe kichwa maji unadai kwamba eti Wakristo hawapendi kuongozwa na Mwislamu! Kweli JK alishafilisika kisiasa ndio maana amekimbilia kujificha msikitini, hana jipya tena! Hivi kauli zake za "Ari Mpya..." ziliishia wapi vile?"
   
 15. King2

  King2 JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MODS HEMBU FUNGENI TAKATAKa HII!
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  we endelea kuimbishwa hiyo nyimbo na ccm bila kujijua wakati wenyewe mtaji wa dini ndio umekua ukiwabeba kwa kuwachafua wapinzani kila wanapoonesha kuwatishia uhai wao wa kuendelea kututawala,waliitumia kete hii ya dini kuidhoofisha cuf na kuifanya ipoteze umaarufu kwa wapiga kura wakristo na hivyo kutozipata kura za wakristo za kutosha licha ya watu kama Tambwe Hiza na Alfred Rwakatare kupita kila mtaa kujaribu kuwaeleza wakristo kwamba hiyo ni ghilba ya ccm lakini haikusaidia sana,uchaguzi uliopita wameirudia tena but this time kwa chadema;ccm walifanya hila za makusudi kupita kwa waislam na kuwaeleza chadema ni chama cha kanisa na eti kikishinda haki za waislam ikiwemo kwenda kuhiji makka zitakua hatarini....propaganda ambayo iliwaingia waislam vilivyo na bado haijawatoka,ndio maana mnaona chadema sio maarufu sana kwa waislam,na ili uingie ushike dola unahitaji kura za mseto,za waislam na za wakristo,ccm ndio wanashindia hapo,wao wanazipataga zote,ndio maana tunaishtua chadema iwe na mkakati maalum wa kuzipata kura za waislam za kutosha!!!tatizo kama lipo lipo tu,kulikimbia kwa kujifanya halipo is not gonna help either!

   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mi naona kama wote tu waislam na wakatoliki amabo ndio pekee wamewahi kuitawala hii nchi so far wanapwaya tu,labda tujaribu na wa madhehebu mengine tofauti na waislam na wakatoliki!we unaionaje hii???
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  2015 lazima na kkkt kupitia mtu wao nao waongoze
   
 19. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Watamwomba MUNGU.
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Samuel Sitta mbunge wa urambo ndio mtu wao...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...