only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,342
- 2,528
.......Kwa namna anavyosimamai suala hili la madaktari,na uthubutu wake dhidi ya uharamia wa serikali yetu,nashauri huyu jamaa tukisha badili katiba yetu na kuwa na mgombea binafsi,naomba tumpe nchi Dr Ulimboka mwaka 2015.Japo Pinda hapendi kusikia hili.