Madaktari tunakaribisha hoja zenu jamii forum kwani ipo wazi kwa wananchi wote,karibun sanaaaaaaaa

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Napenda kuwaomba na kuwakaribisha madaktari,kuleta hoja zao hapa JF Kama njia mojawapo ya kuendelea na mijadala yenye kushikiza haki kupatikana dhidi yao na kwa maslahi ya taifa letu kwa ujumla,Tunaendelea
kuwaambia kwa katika utafutaji wa haki mambo mengi hutokea ikiwa pamoja na usalaliti,uoga,na hata kupoteza maisha lakini ujasiri,busara na kuogopa dhambi ya uoga ndivyo vitakavyowaunganisha

MAPAMBANO DHIDI YA DHULUMA,UNYANYASAJI NA UKIUKWAJI DHIDI YA

MISINGI YA HAKI,USAWA,BADO YANAENDELEA ..................................??


Karibuni sana

JOB SEEKER
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom