Wana Jf Tazamane CCM wasivo Na Busara

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Wana Jf kuna SMS imekuja Kwangu Bahati Mbaya wana Magamba walikua wanapeana Taarifa SMS ikaja kwangu kwa bahati Mbaya

Wakati kuna mgomo Wa madakatari Hali ya Uchumi mbaya vigogo Wa Ccm wanakaa ikulu wanajadili mikakati Yao ya kumalizana na namna watakavotumia Pesa walizopata kwa Ufisadi kwa kupeana tenda nimeamua kuweka hapa SMS ili sote
 
SMS ndiyo hii?
 
mtu anaweza kuwa amepandwa na gonjwa la malaria kichwani sasa kwa kuwa hajapata vipimo haya ndio madhara ya gonjwa lenyewe.tusimlaumu,tumpe pole.
 
Hii ni kama habari za gazeti la udaku la siku hizi la Tanzania Daima na mwananchi.samahani lakini.
 
SMS iko wapi...au unajaza thread tu? Bora thread za mgomo ziunganishwe

Kwanini mtu unafungua thread ambayo tayari unaiona? Kama thread ipo na una maoni changia...si kuanza mpya.....mnaharibu standard ya forum...
 
Back
Top Bottom