Ccm na mtandao wa siri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na mtandao wa siri!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Jan 30, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm!
  Source:jambo leo!
  Swali langu:
  je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz hawamfahamu?
   
 2. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  bado sijakuelewa aliye anzisha huo mtandao ni nani kwa lengo gani
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nothing wrong
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mtandao wa siri? Sijaelewa...
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tupatie link tusome tuelewe na kutoa mawazo.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watahaha sana lakini kamwe hakitaeleweka
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mbona watatafutana sana term hii!!!,sishangai,mzoea vya kunyonga......,badala ya kuhangaikia matatizo ya watz wao wanahangaikia 2015 huko,huu upuuzi sijui utaisha lini?
   
 8. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  upuuzi mtupu
   
 9. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  NIPO mimi nimefichika hawanifahamu.
   
 10. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni gazeti la majeruhi wa ufisadi wana hasira na serikali ya JK. Be careful
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Dah! Jamani hilo gazeti la jambo leo ni la magamba.
   
 12. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kundi la Rostam Aziz na kijana wake Hussein Bashe wamepata media ya kupambana na mahasimu wao ndani ya CCM. Hakika mengi tutayaona hadi siku ya kumpata Rais ajaye. Lengo lao ni kumtikisa Jk.
   
 13. k

  kiche JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona ilishatamkwa kuwa rais ajaye JK anamfahamu!!,labda mchakato wenyewe ndiyo huo ili kuwazuga watu,lakini wakae wakijua kuwa kadri miaka inavyosonga ndivyo wanavyozidi kupoteza mwelekeo.
   
 14. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jambo leo limenunuliwa na habari Corporation kampuni ya Rostam Aziz. kazi kwenu kuchambua kama ni chanzo makini au ni upupu tu.
   
 15. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni la aliyevuliwa magamba amejeruhiwa kaamua kulipa kisasi kupitia media zake.
   
 16. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Kwa nini asimfahamu ilihali 2010 alimwibia kura zake?

   
 17. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kura watapiga kwa siri?
   
 18. k

  kiche JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ok!nimekupata mkuu.
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Napita tu, nitarudi ukiweka habari hapa
   
Loading...