Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Published On: Tue, Jan 31st, 2012 Tanzania | Published On: Tue, Jan 31st, 2012 British High Commissioner to Tanzania, Diane Louise Corner The British High Commissioner to Tanzania, Ms Diane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipindi hiki wanaotetea posho watatumia kila hila kujaribu kudiscredit wanaopinga posho. Kuna wabunge wamepanga kuzuia hoja binafsi za wabunge wanaosimama na Umma kupinga posho za kukaa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya mkuu wa k aya kubariki zile posho za wabunge ambazo kwa uchache (bila vikao vidogo ndani ya vikubwa) ni sh.330,000 kwa siku ambapo kwa siku mbili Mbunge anakuwa amechukua kiwango ambacho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HABARI ZENU, The controversy about the extension of the sea boundary has come at the right time when Zanzibaris have shown that they will no longer be hijacked when their vital national interest...
2 Reactions
127 Replies
12K Views
Kikao Muhimu cha bunge kinaendelea Dodoma na TV ya taifa ni lazima si ombi kuwaonyesha wananchi wake kitu ambacho wawakilisho wao wanakijadili Bungeni. Cha ajabu hii tv inakatika katika na...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Kwa kuwa fedha za nyongeza ya wabunge laki mbili thelathini elfu zimekwisha tengwa na zipo,basi serikali ikubaliane na wabunge kuwa badala ya wao kupewa posho fedha hizo na nyongeza kidogo wapewe...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Binafsi nimeguswa sana na hoja ambayo Mnyika anatazamia kuiwakilisha Bungeni kwani zaidi ya yeye kupata ufafanuzi wa anayohitaji naamini Watz tulio wengi ambao hoja hiyo hatukuweza kuielewa kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWONGOZO: STRIKE EXTENSION: MASAA 48 YA MGOMO KAMILI Baada ya serikali kutoonesha niaya kutatua madai ya madaktari na kuendelea kupotushwa na baada ya mashaurianona mapendekezo ya madaktari wa...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
HOTUBA YA UTAMBULISHO WA CHAMA KIPYA CHA SIASA NCHINI CHA CCK Utangulizi na Shukrani Ndugu wanachama, Waandishi wa habari Na Watanzania wote Leo hii ile ndoto ambayo ilikataliwa kutimia...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
MAANDAMANO NDIYO DAWA YA KUPINGA ONGEZEKO LA POSHO ZAWABUNGE Inasikitisha na ni huzuni kubwa kwa jamii ya Watanzaniakusikia kwamba Rais Jakaya Kiwete amebariki na kuridhia ongezeko la Posho...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni udhaifu mkubwa Serikali yeyote kushindwa kutumia busara na hatimaye kutumia nguvu na ubabe.Swala la serikali kuonyesha kuwa kama madaktari hawatakuwepo tayari basi wanaweza kutumia wanajeshi ni...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kitendo cha serikali kukaa kimya tangu sakata la mgomo wa madaktari unaanza hadi kufikia siku ya saba na kutoa maauzi yasileta tija ilikuwa ni mpango wa serikali kutafuta kuungwa mkoono na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwalimu used to say " Some of our citizens still have a large amounts of money spent on their education, while others have none" Today, the medical doctors who are striking and exercise a "go...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu hili ni swali muhimu la kujiuliza kama kweli madaktari wanaoenda jeshini walipanga kufanya hivyo au ni kwa sababu ya maslahi na mazingira duni ya madaktari?hata kama madaktari hawa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukongwe Hausaidii Kubaki Madarakani Kama ni nia ya chama tawala kubaki madarakani, basi lengo la kila chama cha upinzani ni kuingia Ikulu. Lakini Ikulu hawakai wapangaji wawili. Basi vipi vyama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza nikiri humu ndani baadhu wameshachoshwa kujadili mambo ya EL et all na Dr. Slaa vile vile ila isiwe sababu ya mtu kubaki na kitu moyoni ilihali una kiamini kwangu mimi ni bora ukitoe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th January 2012 @ 15:00 RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, anatarajiwa kuondoka leo nchini kwenda Geneva, Uswisi ambako ataongoza Mkutano wa 28 wa Bodi ya Kituo...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wadau toka niingie mwaka 2012.......sijasikia tena vyombo vya habari vikizungumzia katiba mpya kila saa nasikia vyombo vya habali vikirusha.......ya kwamba tujitokeze kutoa maoni ya vazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa Hamis Dady anasema kuwa dawa ya kuondokana na maandamano na migomo iliyopo nchini nikuanza kuwafundisha wanafunzi wasigome au wasifanye maandamano tangu wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…