Serikali yapeleka Madaktari 15 kutoka Lugalo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yapeleka Madaktari 15 kutoka Lugalo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Jan 31, 2012.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni udhaifu mkubwa Serikali yeyote kushindwa kutumia busara na hatimaye kutumia nguvu na ubabe.Swala la serikali kuonyesha kuwa kama madaktari hawatakuwepo tayari basi wanaweza kutumia wanajeshi ni Udhaifu wa Viongozi wetu ambao hawana fikra pana na badala ya kutumia Akili wanatumia Nguvu.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.
  Kufuatia sakata la mgomo wa Madaktari kuwa kubwa hasa kwenye hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam.

  Serikali imeongeza Madaktari bingwa 15 kutoka Jeshini Lugalo.

  SOURCE: TBC 1 HABARI
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,791
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hii serikali si legelege tena bali ni tepetepe,Uamuzi wa kukurupuka wa mizengo.Atuambie daktari gani aliyeshindwa kuripoti on Time kafukuzwa kazi.They shud walk the talk and talk the talk.
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kama ni mabingwa Mafisadi wangekuwa wanatibiwa Lugalo badala ya kwenda Apollo
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,044
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Mabingwa wa wananchi, Mabingwa wa viongozi wako Apollo.

  Inaniuma sana wanavyowazalilisha madaktari wetu
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakuu hii Serikali ni Ndembendembe.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kule lugalo nani anatibu?au mnataka walinzi wetu wafe?mnatupeleka wapi?
   
 8. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Halafu kule Lugalo wapo akina nani?
   
 9. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hizo ni dalili kuwa serikali inaanguka na jeshi ndiyo liongoze nchi
  tz haina rais
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hawaja fanya la maana bado.
   
 11. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa madaktari 15 kati ya more than 200 wanaotakiwa wamefanya nini hapo! They need to sit with Doctors and solve the problem waache kugombea posho tu.
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  udaktari sio kuvunja matofali kwa kichwa.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Afu nimecheka madaktari bingwa kutoka Lugalo wanafundishwa kutumia baadhi ya vifaa,


  nimejiuliza hivi wamepeleka madaktari bingwa au manesi?
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tunajua kuwa Daktari kutoka MOI, Marealle, ambaye ni daktari bingwa upasuaji wa mfupa ndo wanamuita pale Lugalo ikihitajika.
  Na Lugalo wanarefer wagonjwa Muhimbili including askari wao kwa sababu hawana utaalam wa kutosha.
  Huku Muhibili wanakuja kuandika rufaa ya wagonjwa kwenda wapi kwa sababu kutibu hawawezi?
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160  I like this!
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na hao wanaokuja ni clinical oficers na Assistant Medical Officers, ambao hiyo kada kwa Muhimbili ilishakuwa phased out zaidi ya miaka 10 ilopita.

   
 17. m

  macinkus JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mpangilio wa shift za hao madaktari wanajeshi ni: 9 asbuhi، 3 mchana na 3 usiku!
  Macinkus
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,160
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Sasa kule Lugalo wamebakia kina nani au infantry ndio wanatibu sasa?
   
 19. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,493
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Yaani hapa ndio wamefika mwisho wa kufikiri???
   
 20. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,595
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Amaaa! Kweli wanazidi kuchemka.
   
Loading...