Mjadala wa vazi la taifa na mjadala wa katiba kipi muhimu vyombo vya habali kujadili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa vazi la taifa na mjadala wa katiba kipi muhimu vyombo vya habali kujadili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Jan 31, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Jamani wadau toka niingie mwaka 2012.......sijasikia tena vyombo vya habari vikizungumzia katiba mpya
  kila saa nasikia vyombo vya habali vikirusha.......ya kwamba tujitokeze kutoa maoni ya vazi la taifa

  inakuaje mbona katiba mpya haizungumziwi namna hii.........hebu nisaidieni labda mimi najiona elimu yangu bado
  ipo chini......hivi nini cha muhimu
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  TBC na Clouds Media?
  Ooh mama!
   
Loading...